Why do women pay less and get more??

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
""Because we makes the world a better place plus we're better looking than men.And generally,we're better insurance risks too.So,we deserve a whole lot more than them,like a trolley-full of benefits and up to 40% less on our monthly car insurance premium"""

What do you guys think about this statements? Is it true?
 
Nimetoka kapa.....Kabisa!Shame on me!
 
""Because we makes the world a better place plus we're better looking than men.And generally,we're better insurance risks too.So,we deserve a whole lot more than them,like a trolley-full of benefits and up to 40% less on our monthly car insurance premium"""

What do you guys think about this statements? Is it true?

f_doh.gif
 
Asante mkuu kwa uwazi wako,muombe bluray akusaidie.

HEEEY Bluray....Nisaidie kumwelewa Kisdodasoda, maana inaaminika wewe ndo unaweza kung`amua jambo ambalo mtu analiweka jamvini kwa kubana communication na wanajamvi!...lol!
 
""Because we makes the world a better place plus we're better looking than men.And generally,we're better insurance risks too.So,we deserve a whole lot more than them,like a trolley-full of benefits and up to 40% less on our monthly car insurance premium"""

What do you guys think about this statements? Is it true?

hapo sikubaliani mbona ndoa za mashoga ndo kwaaanza zinaongezeka,

hao watu wa bima wanawatumia kibiashara, wanawadanganya eti 40% off...wapi bana, wajanja hawaendi kwenye hizo bima za ki hivyo,

bottom line ni kuwa wanawake ni rahisi kudanganywa kibiashara na makampuni yanalijua hilo ndo maana wanazungumzia hiyo 40% and other similar schemes!
 
Slogan ilotumika hapa ndo hata mwenyewe imenitoa kapa.
Hiki ni kitangazo cha Insurance company moja hivi.

Sasa mie nikawa najiuliza kuna ukweli gani katika ulimwengu huu kwamba Wanawake hulipa kidogo na wanapata/pewa zaidi ya wanaume?
ama ndo yaleee mambo ya duka la mpemba elfu 2 anarudi na kapu zima,..hahaaaaaaa!
Na pia hilo jibu/sababu walotoa je,inaukweli kuwa wao ndo wanafanza dunia iwe mahala pema na pia wanaonekana murua zaidi ya wanaume?

mawazo yangu.
 
wanapenda dezo sana. ujue inashangaza kuona bibie anafanya kazi lakini bado anapiga mizinga, aaargggghhh.
 
""Because we makes the world a better place plus we're better looking than men.And generally,we're better insurance risks too.So,we deserve a whole lot more than them,like a trolley-full of benefits and up to 40% less on our monthly car insurance premium"""

What do you guys think about this statements? Is it true?

Sasa Gender equality itatoka wapi??
 
Back
Top Bottom