Natafuta mwenza

makambako

Member
Jul 27, 2009
12
3
Hii inaweza isiwe njia sahihi ya kutafuta mwenza wa maisha kwa watu wengi sana kwenye forum hii lakini mimi naomba kwa sasa niitumie baada ya kutumia njia nyingine nyingi tu na kukumbana na wasichana wa ajabu sana...

Sifa zangu
  1. Elimu ya chuo kikuu, degree ya kwanza.
  2. Dini muislamu...mimi sibagui dini
  3. urefu 5 11" ft
  4. Hodari na mtafutaji wa kweli wa maisha
  5. mchangamfu na pia napenda kujipa raha na kula bata ndogo ndogo za hapa na pale
  6. Napenda kusafiri,clubing,soccer,comedy (tyler perry's house of Pain is my favourite),movie,kukutana na marafiki wapya,napenda kupika na pia napenda kuhave fun..
  7. My favourite book... The autobiography of Malcom X
  8. Favuorite movie....Catch me if u can.
Sifa za binti.
  1. Msomi na anayejitambua
  2. mcheshi
  3. Mkweli na muhangaikaji wa maisha
  4. sibagui dini wala kabila
  5. Mwenye upendo wa kweli kwa mpenzi na ndugu.
  6. Anipende mimi kama mimi na si vinginevyo coz what I can promise is pure and true love coz all the materials can always come and go bt my love will remain to be pure and true forevever,
If it looks like nimekuvutia, go ahead and write me an email on rashmaki@gmail.com. kama unaona mizinguo poa lichunie na jiheshimu kwa kutokutoa comments za ajabu though siwez kuzuia uhuru wako wa kujiexpress....
 
Kwa mfano akajitokeza mjane mwenye miaka 45 na watoto watatu, uko tayari? Kuna mama mmoja namfahamu mwenye sifa hizo anahitaji kuolewa.
 
Vp baridi la hapo MK?
Dah mkuu hapa huwezi pata kitu maana wote ni occupied.
 
umesahau sifa muhimu kama
una akiba ya kiasi gani benki na inatarajiwa kuongezeka kwa kasi gani
usafiri wako binafsi ni upi (chooper, gari, pikipiki,daladala, au mguu)

holla!
 
Na kingine kama anatumia line gani ya simu. TiGo au?
 
umesahau sifa muhimu kama
una akiba ya kiasi gani benki na inatarajiwa kuongezeka kwa kasi gani
usafiri wako binafsi ni upi (chooper, gari, pikipiki,daladala, au mguu)

holla!

Dah iwa mnapenda mambo makubwa nyie kwa mtaji huu ni kuchunana.
 
Hivi JF bado kuna vigori ngoja nijaribu kuangalia mtaani kwetu kama kuna kabinti kacheshi nitakushitua
 
FL sijamkatisha tamaa.....ila namfahamisha kuwa hivyo ndo vigezo vya wanawake wengi wa sasa
 
swali muhimu; unaishi wapi (I mean mkoa au mji gani)?
All the best, utapata tu, ubavu wako upo
 
Hii inaweza isiwe njia sahihi ya kutafuta mwenza wa maisha kwa watu wengi sana kwenye forum hii lakini mimi naomba kwa sasa niitumie baada ya kutumia njia nyingine nyingi tu na kukumbana na wasichana wa ajabu sana...

Sifa zangu
  1. Elimu ya chuo kikuu, degree ya kwanza.
  2. Dini muislamu...mimi sibagui dini
  3. urefu 5 11" ft
  4. Hodari na mtafutaji wa kweli wa maisha
  5. mchangamfu na pia napenda kujipa raha na kula bata ndogo ndogo za hapa na pale
  6. Napenda kusafiri,clubing,soccer,comedy (tyler perry's house of Pain is my favourite),movie,kukutana na marafiki wapya,napenda kupika na pia napenda kuhave fun..
  7. My favourite book... The autobiography of Malcom X
  8. Favuorite movie....Catch me if u can.
Sifa za binti.
  1. Msomi na anayejitambua
  2. mcheshi
  3. Mkweli na muhangaikaji wa maisha
  4. sibagui dini wala kabila
  5. Mwenye upendo wa kweli kwa mpenzi na ndugu.
  6. Anipende mimi kama mimi na si vinginevyo coz what I can promise is pure and true love coz all the materials can always come and go bt my love will remain to be pure and true forevever,
If it looks like nimekuvutia, go ahead and write me an email on rashmaki@gmail.com. kama unaona mizinguo poa lichunie na jiheshimu kwa kutokutoa comments za ajabu though siwez kuzuia uhuru wako wa kujiexpress....
home boy upo?
 
Kama anakosa sifa moja ya hizo ulizotaja Es. no. 2, bado ana nafasi. nina kadogo kangu kako chuo lakini sio kacheshi. nitafute kwa 0713831147
 
Du, usijali kaka utapata tu, hapa wapo wengi tu, kuwa na subira. M nilikuwa na kadogo kangu, lakini wapwa wamepiga kelele sana itabidi nikapeleke kwenye kikao kijacho cha mabinamu ila wakishindwa kufika dau ntakaforward kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom