Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

niliachana najamaa m1 toka 2009 sasa toka juz ananisumbua sana et anadai bado ananipenda minkakataa ila jamaa anakuwa haelewi kiukweli mi simtaki manake alitenda isivo kawaida
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni mwaka wa pili tangu nioe, ila mwezi wa 11 mwaka jana mke wangu kaanza mauzauza. Anatoka asubuhi kurudi ni saa sita au asubuhi ya siku inayofuyata. Kafanya hivyo kwa muda wa miezi miwili sasa na...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Kachimbe kisima wewe mwenyewe ndugu yangu na unywe maji yako peke yako. Usishiriki na mwingine,Ni hatari kubwa sana. Hakika,maji ya kisima cha watu wengi yameingiliwa na mdudu, ukiwa na kiu...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini kama kuna uhusiano kati ya kabila na tabia za mtu. Kuna rafiki yangu ana mpenzi ambaye ni Mpare na wamedumu naye kwa miaka kadhaa sasa. Sasa huyu jamaa...
0 Reactions
65 Replies
30K Views
Bila kuvunja Ibara ya ...... Kanuni na masharti ya JF AAA = Mara nyingi ni raha ya ukweli EEE = Mara nyingi ni maumivu ya ukweli III = Mara nyingi wanajifanyisha, anataka kukuibia OOO=...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
A woman needs love Just like you do Don't kid yourself Into thinking that she don't She can fool around Just like do, oh Unless you give her All the lovin' she wants Don't make the mistake Of...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna kibinti kimoja hapa mtaani kwangu kimesikika kikiapa kuwa lazima kitembee na mvulana mmoja ambaye husifika kwa mabinti kumgombania.....................sababu hazieleweki kwa uwazi...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mkeo amepata nafasi ya kwenda kusoma, Pale nyumbani mna watoto wawli, mnaamua kuagiza mfanyakazi kutoka kwenu kijijni kuja kuwasaidia kazi, na siku ya kuja mfanyakazi unaenda wewe mwenyewe...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Marriage is a social obligation as well as something two individuals would like to get into after courtship. Although, many single women prefer to avoid marriage, yet marriage continues to be...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Naomba marafiki wakike wanao weza tukabadilishana mawazo
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Ebana mwenzenu j3 ndo naanza UE,ka vp niombeeni for best results in my coming exams.asanten
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Why do women cheat? There are three types of affairs they could be involved in. The first and biggest is the physical affair where there is sex involved. Then there is the emotional affair...
1 Reactions
48 Replies
9K Views
My first girlfriend used to pull out the 'lets break up' card to intimidate or scare me since she knew she was my all..Until one day i told her there is no more me and her since i couldn't stand...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
mimi ni kijana wa miaka 32 i am at dodoma ;i really want a wife .a dream woman aged between 20 and 23 she should not be less than form six graduate and she should be white well figured and agood...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Top Two Reasons Why Your Husband Will Cheat on You One of the most devastating events to occur in life is when a husband has an affair. In addition to the physical concerns of disease, being...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
"Yaani mnanishangaza na kisha nawahurumia sana! Eti msichana unaenda kulala na mwanaume jana na leo tena una hamu unarudi kulala na mwanaume ? Kweli wanaume wa sasa hawajiwezi." Hayo ni baadhi ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
wakuu mpo kesho naenda zanzibar kwa ajili ya kufanya utalii wa ndani sio tu watalii wa nje wanakuja kufanya utalii na sisi watanzania tuko hapa hapa sasa basi nimeamua kesho niende zangu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sijisifu lakini najijua jinsi nilivyo na moyo wa uvumilivu pamoja na kubembeleza. Wasichana wote niliotumia muda{3} mrefu kuwapata, niligundua kwamba walinikubali kwasababu ya kuwaganda sana...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Naamini kw uwezo wa mungu wote mu wazima.wana jf..happy new yeah!!me siyo mgen humu ila huwa napita tu na mwaka jana nlileta matatizo yangu hapa mkanishaur vzr tu..maisha haijabadilika mume bdo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya majonzi ya takriban wiki nzima ya mpendwa wetu RM, ndugu yenu mitishamba nimerudi tena. Huwa siishiwa mikasa, na mara nyingi huwa naongelea mambo yaliyonikuta ama kuyashuhudia. Mimi na...
2 Reactions
79 Replies
5K Views
Back
Top Bottom