Msaada: Nahisi kuishiwa mbinu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Nahisi kuishiwa mbinu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Jun 9, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Sijisifu lakini najijua jinsi nilivyo na moyo wa uvumilivu pamoja na kubembeleza. Wasichana wote niliotumia muda{3} mrefu kuwapata, niligundua kwamba walinikubali kwasababu ya kuwaganda sana, mapenzi hayakudumu, waliniacha wakaenda. Sasa nimebadili uelekeo sitaki tena kusumbuana na mtu muda mrefu, lakini nikitafakari naona hii nayo inaweza kunigharimu. Naomba mawazo yenu, je reasonable time ya kumfatilia msichana ambaye ana +ve response ni upi? Nahis kushindwa na kukata tamaa.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We mwaga sera alafu sikilizia mapokeo utakayopata....akikwambia suburi ntakupa jibu basi subiri.Akileta mapozzz sijui ohhh staki nna wangu mie changanya miguu!
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu labda mbinu zako zimepitwa na wakati kuna hii ya vijana wa kileo wanaita spidi 120 kwenye kona yaani humpi hata muda wa kukataa lol! Inategemea na malengo yako kama wa kujivinjari nae baada ya wiki mbili tambaa zako lakini kama unataka kumuoa we komaa nae hata mwaka it will be worth the wait and effort.
   
 4. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kama mtu ankupenda wala haya hachelewi... mapema utapata jibu.
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Tatizo mabint hawamaanishi wanachokisema!
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukiacha kumfukuzia anakuuliza vipi siku hizi mbona hatuwasiliani ? na alishakwambia nina mtu au siko tayari kwa sasa lol!
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Wanawake wa .com wana maana unakutana nae asubuhi, usiku unakula mzigo! .......
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkipewa haraka hawana maana mkicheleweshwa mnadai mnazungushwa.
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Shangaa na wewe!!!!
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama hajitambui shur...kama anajitambua hatokuzungusha wala kukupa jibu asilo na uhakika nalo!!
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kuna niliyemfatilia 2yrs, alikuja kukubali lakini baadaye akasema hakumaanisha alipodai ananipenda. Navunjika moyo wa kukomaa kila nikifikiria ile situation.
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hivi mtu asiyekupenda/asiyekuhtaji anaweza akatumia 2hrs kuongea na wewe kwenye cmu,, ukikaa kimya anauliza imekuaje? Ukirudi kwenye mada unaambia "sitaki tu/nna mtu". Siwaelew hawa watu.
   
 13. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tindikali, unaonekana upo very innocent, pole sana usikate tamaa, ngoja nikupe technique, wewe ni mtu smart? msafi, unajua kupigilia pamba? unanukia vizuri? ukimpenda msichana anaangalia vitu vingi sana, mwingine akisikia tu harufu ya manukato yako anakuganda mwingine akiona mkanda na kiatu tu baaasi ushamroga, mwingine akiona mwanaume kavaa shirt ya stripes baaasi karogeka, binafsi nikimwona mwanaume ameshonesha suruari halafu imekuwa paaaana hata kama mzuri vipi huwa simpi nafasi hata ya kumsikiliza...jipende kwanza utapendwa,Nyoa nywele na ndevu zako weka low cut, hii pia inavutia na unaonekana msafi, kuwa mchangamfu unapoongea na hao wapendwa wako, pia wasichana hawapendi wanaume waliozubaa, jokes za hapa na pale zitakusaidia,

  Ya mwisho kabisa, ukiona umemuangaikia msichana sana kama miezi miwili haelekei, kata tamaa tulia kama wiki mbili hivi utaona anakutafuta mwenyewe, maana hatajiuliza ni ake mbona humsumbui tena?
   
 14. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
   
 15. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli nimekuaminia umejuaje yote haya, ni kweli kabisa wanawake tuko hivo
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mwanamke wakati akitongozwa anatakiwa aAPPLY kidogo ile nyimbo y MATONYA ft FID Q na cyo azidishe saana ataboa .......
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  thanx kwa ushauri mzuri. kifupi nipo smart na jokes naziweza. kikubwa labda njitahidi kuboresha
   
 18. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,238
  Trophy Points: 280
  Mh..Tindikalikali...badili swagger!!!!!!!
   
 19. M

  MARUMA J Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wory out! mapenzi, ngono sio chakula just asbsteen tena juna ngoma ! kama wanakukataa wanakusaidia
   
 20. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Umefikiri sawasawa?
   
Loading...