Bi mkubwa kakimbia msaad plsss

miss nora

Member
Mar 25, 2011
13
7
Naamini kw uwezo wa mungu wote mu wazima.wana jf..happy new yeah!!me siyo mgen humu ila huwa napita tu na mwaka jana nlileta matatizo yangu hapa mkanishaur vzr tu..maisha haijabadilika mume bdo kicheche lkn sigomban nae tena akili yangu imekomaa naangalia maisha yangu tu na

bado nipo na mume..labda kifup t ni kwamba niliolewa nkamkuta alitenitangulia Ui
akiwa na watot wawl mume akasema kuwa kaowa kisa huyo bi mkubwa mkorofii matatizo kibao..sa tumeendelea na maisha kila mmoja yaan bi mkubwa ana nyumba yake na biashara yake na me hivyo hivyo..sa mwaka jana bi mkubwa kakimbia nyumba na biashara kaenda kuolewa na haijilikani alipo na huyo mumew mpya..
Sa nnachoomba ushauri ni kwamba jamaa anataka tuongeze mtaji kwenye biashara aloiacha bishost sa nafikiria tuwekeane mikakat gan coz nafikiri bdae bi shost anaweza rudi akakuta biashar imekuwa kubwa nkawa cna changu mume anadai hawez rud ndo imetok tuwekeane mikakat gan labd ambay itanlinda..nmechanganya lkn I think ntaelewe
 
ukiona mwenzio kanyolewa we zako tia maji........huyo bi mkumbwa yalimshinda akajilia vya kutosha akaamua kusanzuka na mtaji wake wa kutosha.......sasa na wew utaleatewa bi mdogo na ukishangaa ataondoka na mali wewe unang"aa sharubu
 
kaa,lakini akili kichwani mwako....mwanaume alikwambia kwamba bi mkubwa alikua mkorofi sana,je ni kweli au vilikua visa vyake huyo bwana????mwanaume kama huyo ambaye alioa kwanza alafu akamwacha huyo bi mkubwa hachelewi kuoa mwngine...sasa hapo utakua na chako wewe???ndo mana nakwambia ishi ukiwa umeiweka akili yako tayaritayari......
 
Hiyo ni mali ya familia hamuwezi kuiacha iteketee kisa bi. mkubwa kakimbia na njemba, ushasema kaenda kuolewa na hajulikani alpo so what next? acha uoga jinafasi bidada umeachiwa uwanja.
 
Shirikiana na mumeo, tafuta ushauri wa kisheria na jipange kwa lolote,akija ni kupambana mwanzo mwisho....usiwe muoga sana,waoga hawana sehemu yao kwenye maisha ya sasa.....natumai huyo mumeo ni mkweli na anaaminika misimamo yake.
 
Yasije yakakukuta kama yale ya yule aliyepewa kiwanja na bamkwe. Kuwa makini. Kwanini msianzishe biashara yenu wenyewe badala ya kuendeleza hiyo? Jipangeni msimame wenyewe.
 
tuna biashara yetu lkn sasa tatizo hatuwezi kuiua hiyo biashara alokuwa anaifanya kwani itasaidia kusomesha watoto alowaacha na me nlichokuwa nataka kujua mume hana shuda ananiambie ntakuwa naenda kiangalia hy biashara tatizo ni kwangu je ni haki me kwenda kweny hiyo biashara na hata kufikia ktk nyumba alikuwa anaishi bi mkubwa?
 
Back
Top Bottom