Hivi Kama Inatokea Hivi! Inakuwaje?

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Mkeo amepata nafasi ya kwenda kusoma, Pale nyumbani mna watoto wawli, mnaamua kuagiza mfanyakazi kutoka kwenu kijijni kuja kuwasaidia kazi, na siku ya kuja mfanyakazi unaenda wewe mwenyewe kumpokea, kwani mkeo alikuwa anakamilisha taratibu ili siku mbili tatu asepe.

Tahamaki ulivyomuona binti mwenyewe mapigo ya moyo yakaongezeka kasi, kwa jinsi binti alivyo mzuri.

Wasifu wa binti:
-Anaonyesha kama ana miaka 18
-Alivyotabasam tu vishimo vidogo vikatokea kwenye mashavu
-Kifuani kitu saa sita
-Tumbo lake dogo kama ajala akashiba
-Rangi yake maji ya kunde, macho kama amekula kungu manga
-Kwa ujumla binti ana mzuto wa kimapenzi

Wasifu wa mkeo:
-Ana miaka 30, lakini kama ana miaka 55
-Sura yake imemkomaa kwa ajili ya kubadili cream, mara movate, carolight n.k
-Minido hiyoo, tumbo ndio usiseme kama kala ubwabwa wa shuhurini
-Nyuma amepigwa pasi, viguu kama fito.
-Akiongea mkali kama anatoa amri jeshini.

We mwenyewe sasa handsome boy una miaka 40 lakini kama 25.
Je! mkeo atakubali ubaki na huyo mfanyakazi kweli?

NB: Mkeo uliozeshwa na wazee kijijini wala hakuwa chaguo lako
 
hehehe dah! hapo waifu kila akikaribia kumaliza masomo namtaftia chuo kingine aendelee kubakia ughaibuni, halaf najifanya kumtumia vi email vya kizushi "I miss u kuliko matairi ya meli", kumbe wizi mtupu.

Halaf kama inawezekana nipatie contact za hako kabinti mkuu.
 
Mkuuu mbavu sina!
Alafu nyumba yangu full gate ndani kwa ndani hakuna mpangaji so umbea hamna wala nini mnamaliza ndani kwa ndani.
 
Kwavile kana miaka 18 mkuu unakafanyia besdei tu, ile mida ya kulisha keki unakambia kafumbe macho, kakifumbua mzembe ushaharibu.

Halaf unampigia simu waifu unamwambia "maisha magumu honey jitahidi sana kukusanya vyeti tutavihitajia huko mbeleni"
ukikata simu unaludi kumalizia second half.

Maisha ni simple jibaba sisi tu ndio tunayacomplicate
 
unapga kitu, then unakajengea na kukafungulia bsnes alafu kanakua kamji kako kadogo! na gari unakanunulia kasipewe lift ovyo!
 
unatafuta kiranga
utamzalisha sasa hivi
na mkeo akirudi ndio utatia akili na hivi kakomaa.

Huyo binti huwezi kaa naye mrudishe utafute hausi boi
 
Wasifu wa binti:
-Anaonyesha kama ana miaka 18
-Alivyotabasam tu vishimo vidogo vikatokea kwenye mashavu
-Kifuani kitu saa sita
-Tumbo lake dogo kama ajala akashiba
-Rangi yake maji ya kunde, macho kama amekula kungu manga
-Kwa ujumla binti ana mzuto wa kimapenzi

mama watoto kwenye mazingira haya hatakuwa na amani moyoni mwake kwa hiyo atafanya juu chini kuhakikisha huyo mwali anarudi alikotoka..............yaani ile kwake au kwa hako kabinti..................
 
naenda kulala... baadae.

usiku mzima ulikuwa unafanya nini hadi usikie usingizi?.............mie kero yangu kwako ni hiyo avatar tu sia kero nyingine.................unveil her face please...........
 
mama watoto kwenye mazingira haya hatakuwa na amani moyoni mwake kwa hiyo atafanya juu chini kuhakikisha huyo mwali anarudi alikotoka..............yaani ile kwake au kwa hako kabinti..................

Huyo mwali mwenyewe kaingia leo jioni yeye anatimua kesho kwenda masomoni, alafu kuna mtoto wa miaka 6 anaitaji maangalizi.
 
scofield again na house gals

vipi kile cha ARUSHA ulifanikiwa kukonga coz ulikuwa unakomaa baridi kali, then unaumwa malaria house gal yupo anakufariji,?

inaonekana upo experienced sana na hawa watu et?

:focus:
sidhan kama wife wako atakubali ubaki naye otherwise atakuweka kwenye chupa na kuondoka nawe hadi ataporudi ndo akufungulie.
 
Siku zote mwanamke matunzo umeshndwa kum2nza mkeo apendeze unaona wengine, unatafuta 2 sababu ya kucheat na justfication sio tabia nzuri hyo,ridhika 2 na mkeo alivyo,
 
scofield again na house gals
vipi kile cha ARUSHA ulifanikiwa kukonga coz ulikuwa unakomaa baridi kali, then unaumwa malaria house gal yupo anakufariji,?
inaonekana upo experienced sana na hawa watu et?
Mkuu ile nilifuata ushauri wa wengi nilik********* kako poa tu hata hakajafanya makeke na malaria kushnei.
 
Kama hivyo bora waifu asome hadi PHD tu akae huko huko na mshahara wangu namtumia awe anatumia yeye mi najibakizia za kujikimu tu hehehehe:lol:
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom