Naomba ushauri!

isamilo1982

Member
Jan 17, 2012
55
5
niliachana najamaa m1 toka 2009 sasa toka juz ananisumbua sana et anadai bado ananipenda minkakataa ila jamaa anakuwa haelewi kiukweli mi simtaki manake alitenda isivo kawaida
 
Sorry to say, Inaonekana wewe huna msimamo.Umetoa maelezo machache tu ila yametoa picha yako yote.Simamia kile ulichokwisha kiamua kama ulikiamua ukiwa una maanisha, hilo suala kwamba anakuja tena na kukuleta bla bla linatokana na uzembe wako mwenyewe.Unapata wapi muda wa kuzungumza nae tena masuala ya kimapenzi kama mlikwisha achana for good, acha kutoa majibu huku unacheka cheka.Unasema hutaki huku unangata vidole.We vp bwana.
 
wala cjangata vidole nimemkataa kiukweli anatumia namba tofaut kuntumia text


Tena mwambie kama ataendelea kukusumbua utamwambia bwana ako, uwe serious dadangu wanaume wengine ovyo sana unaweza kuta uko alikoenda ashakumba maradhi anataka aje mpunguziane!
 
Back
Top Bottom