Ushafanya Utafiti wa A, E, I, O, U Katika Mapenzi?

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Bila kuvunja Ibara ya ...... Kanuni na masharti ya JF

AAA = Mara nyingi ni raha ya ukweli
EEE = Mara nyingi ni maumivu ya ukweli
III = Mara nyingi wanajifanyisha, anataka kukuibia
OOO= Mara nyingi ni maumivu ya raha,
UUU= Hapa ni bahada ya safari ndefu ya kupanda na kushuka, mwisho wa safari

We ushakumbana na hipi kati ya hizo?
 
We ni wapili unanambia kuhusu Ivuga... :A S 39:

Alitoa mkwara eti yule mtu angesema anakuzimia wewe angekiona!Ule uzi wa Kongosho na Lizzy!Usijali ameshalala mida hii,twen'zetu!
 
Bila kuvunja Ibara ya ...... Kanuni na masharti ya JF

AAA = Mara nyingi ni raha ya ukweli
EEE = Mara nyingi ni maumivu ya ukweli
III = Mara nyingi wanajifanyisha, anataka kukuibia
OOO= Mara nyingi ni maumivu ya raha,
UUU= Hapa ni bahada ya safari ndefu ya kupanda na kushuka, mwisho wa safari

We ushakumbana na hipi kati ya hizo?
mkuu hiyo red si ni aina ya betri?
 
Nilitaka kuwa wa tatu lakini nimesita kidogo :hat:
Bora umeacha deskmate. Nilikua nimesha sema atakae niuliza tena kuhusu huyu kaka namporomoshea matusi.
Na itakua mara ya kwanza Mwali kukasirika humu JF... you don't want to see that lol
 
Bora umeacha deskmate. Nilikua nimesha sema atakae niuliza tena kuhusu huyu kaka namporomoshea matusi.
Na itakua mara ya kwanza Mwali kukasirika humu JF... you don't want to see that lol
mmmh Greatest escape. Thank Lord
Mmmmh lakini kweli deskmate ungeweza kunitukana mimi? (imagine I did ask you).
 
mmmh Greatest escape. Thank Lord
Mmmmh lakini kweli deskmate ungeweza kunitukana mimi? (imagine I did ask you).
Kuna kutukana na kutukana... wewe ningekwambia tu kitu members wengine wasielewe ila wewe mwenyewe kingekuuma na ungejua deskmate wako nimechukia...
 
Kuna kutukana na kutukana... wewe ningekwambia tu kitu members wengine wasielewe ila wewe mwenyewe kingekuuma na ungejua deskmate wako nimechukia...
Sjui kwanini hii post yako imenifanya nipende kujua , nini ungelisema ambacho watu wasielewe lakini mimi nielewe. Mmmmh
Huninong'onezi?
 
Back
Top Bottom