Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nipokeeni mwenzenu
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Poleni sana na huu msiba mkubwa uliotupa wana JF Naomba msaada wenu kimawazo, Nimeolewa na nina watoto wawili...Mtoto wangu wa kwanza wa kiume nilimzaa nikiwa form two ,nikamrudisha home kwa bibi...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Wenzangu wa MMU, Wengi wenu sikuwasikiliza lakini sikio la kufa .......... Nikawasikiliza wachache na nikajikuta nimejaribu kwa mke wa wa mtu,utamu nikaupata na sasa jamaa-mumewe amenijua na...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Waungwana hizi social network tuwe makini nazo binti mrembo ameuwa baada ya kukutana na rafiki wa facebook ambae amekuwa mpenzi wake, wakiwa hotelini jamaa mwengine ambae alikuwa x wa huyo dem...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
KADA WA UVCCM IRINGA ALIVYOFUMANIWA AKISALITI NDOA YAKE Ni vigumu kuamini ila inapotokea huwa ni vigumu kuvumilia. "Je ndo chama au ni kichaka cha umalaya" na kauli ya mume wa kada huyu...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
naitwa jonal rashidi nipo the rock city nna miaka 21 nasoma kidato cha 5 in mwz sec school natafuta marafiki wa kuchat nao namba yangu ni 0764339400.usibip nicall or ni2mie msg ok? kisses
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow wana-mmu. hali inamwumiza sana alikuwa na mpenzi alimsomesha mpaka form six na kumgharamikia kila kitu na alipomaliza alimfungulia duka la vipodozi akalifilisi kwa kuwahonga wanaume ndipo...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
naitwa jonal rashidi nipo the rock city nna miaka 21 nasoma kidato cha 5 in mwz sec school natafuta marafiki wa kuchat nao namba yangu ni 0764339400.usibip nicall or ni2mie msg ok? kisses
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Umeshawahi kujua hili sababu nini?? Yaani ni sumu kwa makabila mengi sana wakisikia unaoa mwanamke alie na elimu ama ya kukukaribia ama amekuzidi yaani n shida tupu watakutajia matatizo yao na...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Jamani habari zenu? Jaman mm kazin kwang nilikuwa naubishi na wenzangu, kuhusu mahusiano ya mapenzi, je wangwana, ni vema m2 kuzungumza / kuwahadithia wenzake juu ya yey katembea na yule huyo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu WanaJF Uncle amekuwa anatafuna mdada wa kazi kwa jirani, mara wenye nyumba wanapokuwa hawapo huku mdada mwingine wa kazi akishuhudia vitendo vile. Kweli za mwizi ni 39, ya 40 sasa imewadia...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Rafiki yangu amekuja kuniomba ushauri mgumu,nikaamua niwashirikishe.Yeye ameoa ana miaka 6 kwenye ndoa ya kanisani.Hawana mtoto mpaka leo.Wameenda kupima yeye ni mzima ila mkewe ana matatizo{sijui...
0 Reactions
6 Replies
978 Views
Oh, the comfort - the inexpressible comfort of feeling safe with a person - having neither to weigh thoughts nor measure words, but pouring them all right out, just as they are, chaff and grain...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Hivi unasikia mtu akisema na mpenda fulani wakati ana mpenzi wake je hapo anakuwa anampenda?? au anamtaka??au anamtamani??? Kumpenda mtu nivipi?na kumtaka mtu nivipi?,nakutamani mtu nivipi?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika tembea yangu sijaona mwanamke mtamu kama huyu wangu. Kuanzia tabia hadi 10 kwa 10. Kwa kifupi nainjoi maisha kwani sitamani kamwe kumuacha. Nampenda kwa dhati naye pia ananipenda. Vipi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hamjambo wana jf swali. Vitu gani vinavyokuvutia kwa mwanamke mpaka ukampenda ?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanawake hao wanapinga kile cha kuambiwa kuwa wao wanakwenda kufanya umaraya india kwa hyo hawastaili vizaa Ukrainian women rage against Indian prostitute ‘slur' | euronews, world news
0 Reactions
1 Replies
1K Views
INNOCENT NGARULA [40] amejikuta akidhlilishwa na mke wake usiku wa kuamkia jana baada ya mke huyo kuamua kutoa siri ya malumbano kati yao na kubainisha mume wake alikuwa akihitaji kumuingilia...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wanawake hao wanapinga kile cha kuambiwa kuwa wao wanakwenda kufanya umaraya india kwa hyo hawastaili viza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetembea na mke wa mtu na alikuwa mpenzi wangu tangu tulipokua wadogo. Tulitengana kwa sababu za kijiografia tu. tumekutana kwa sababu za kazi wakati yeye kaolewa nami nikiwa na mke tayari...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom