natafuta mke wa maisha

watson.

Member
Jan 12, 2012
10
0
mimi ni kijana wa miaka 32 i am at dodoma ;i really want a wife .a dream woman aged between 20 and 23 she should not be less than form six graduate and she should be white well figured and agood believer of JESUS CHRIST, PLEASE A GOOD BELIEVER OF JESUS CHRIST. naomba mwenye nia na sifa hizo tu anitumie namba yake ya simu kwenye amishekeli@gmail.com.,,
 
Mmmh, what do you mean white....mzungu au zeruzeru. Wewe mbona CV yako sio kamili
 
mimi ni kijana wa miaka 32 i am at dodoma ;i really want a wife .a dream woman aged between 20 and 23 she should not be less than form six graduate and she should be white well figured and agood believer of JESUS CHRIST, PLEASE A GOOD BELIEVER OF JESUS CHRIST. naomba mwenye nia na sifa hizo tu anitumie namba yake ya simu kwenye amishekeli@gmail.com.,,

Kamanda!

Umechelewa Mi ninavyoona!
Ina nina Imani utampata tu!
 
Mke mwema hutoka kwa BWANA!Mruhusu Roho Mtakatifu afanye kazi ndani yako,utampata mke mwema
 
we are all Tanzanians, everybody knows that because we are black we love the white girls among us,but not necessarily muzungu hiyo ngumu mno kupata dada!
 
usijali waupe tu wako tele utampata tu lakini ukumbuke wengi wao ni fake white!
 
Watson,

Usitukanishe waTZ wote kama wanapenda veupe, halafu ving'avyo sio vyote dhahabu.

Majority the so white girls, they least prefer black, unless unamkwanja wa nguvu. Mshirikishe mungu kwenye tafuta yako.

Mbarikiwe
 
mimi ni kijana wa miaka 32 i am at dodoma ;i really want a wife .a dream woman aged between 20 and 23 she should not be less than form six graduate and she should be white well figured and agood believer of JESUS CHRIST, PLEASE A GOOD BELIEVER OF JESUS CHRIST. naomba mwenye nia na sifa hizo tu anitumie namba yake ya simu kwenye amishekeli@gmail.com.,,

Nenda kanisani unakosali kaweke tangazo naamini hapo utapata good believer of jesus christ. Kama wewe mwenyewe ungekuwa good believer ungeomba mungu akujalie mke mwema.
 
we lizzy acha utani, yaani unataka nikikuoa kila siku niwe nakupeleka clinic ya kurudishia rangi!
 
Mke hatafutwi kwa style hii wewe unless u r joking. we jichanganye tu kwenye mijumuiko kadhaaa wa kadha utamwona unayempenda kwa sura na figure kisha mnaangaliana tabia kama mtaendana basi. usiweke mbele tamaa la kumla uroda
 
weupe wa natural hausumbui lizzy bali huo uliosema wa kutokana na dozi ya ca,rolite,sharti urudishiwe rudishiwe vinginevyo!??
 
Back
Top Bottom