Mtalii wa ndani anayetafuta kiburudisho zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtalii wa ndani anayetafuta kiburudisho zanzibar

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by C.T.U, Jan 20, 2012.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  wakuu mpo
  kesho naenda zanzibar kwa ajili ya kufanya utalii wa ndani sio tu watalii wa nje wanakuja kufanya utalii na sisi watanzania tuko hapa hapa sasa basi nimeamua kesho niende zangu zanzibar kufanya utalii na kadhalika ila sasa kwa kuwa nimetoka kuachana na kimeo changu ambacho kililiwa na hr sio mbaya na mimi huko ninakoenda nkatafuta kiburudisho sasa wakuu wenye uelewa na zanzibar wajaribu kuniambia maeneo ambayo ninaweza pata kiburudisho kitakachoniburudisha wakati wote nitakaokuwa zanzibar maana nasikia kule ndio kwenyewe sasa naomba nikajionee mwenyewe
  mwenye kunipa full details nitashukuru
   
 2. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda kakalie dole pale karibu na mchambawima utawakuta wenzio wengi wanasukumiwa mashine na mwisho wake mnaenda kulala kibandamaiti
   
 3. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,338
  Likes Received: 10,433
  Trophy Points: 280
  Wewe unataka mtu wakukupa raha ipi? unataka wakiume au wakike?
   
 4. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu, nina wasiwasi naye
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Wew ni Ke au Me?
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  sasa hii ni post ya jukwaa hili?
   
 7. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  nataka mwanamke
   
 8. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,338
  Likes Received: 10,433
  Trophy Points: 280
  Numba yake hii piga usibiip +481089010001 anakuja kutoka ughaibuni aliniambia nimtafutie mwanaume kazi kwako piga
   
 9. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kwa mtindo huu gonjwa litaisha? yani kutalii unataka upate wa kumtia pia? job true true!!
  Kawaulize huko huko Zanzibar, watakushughulikia ipasavyo.
   
 10. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  ndugu chunga unaweza ukaopoa men mwenzako
   
 11. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Au akaopolewa yeye!

  Sorry boss!
   
 12. w

  watambi Senior Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ulizia Gymkhana. Ukikosa nenda maisala ccm
   
Loading...