Maraha ya mvulana wa kugombaniwa............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,427
911,172
Kuna kibinti kimoja hapa mtaani kwangu kimesikika kikiapa kuwa lazima kitembee na mvulana mmoja ambaye husifika kwa mabinti kumgombania.....................sababu hazieleweki kwa uwazi sana..........kwa nini kijana huyu husakwa kwa udi na uvumba.............maana hana nyuma wala mbele kwa maono yangu ya kiutu uzima....

binti huyu anadai kachoka kusimuliwa khabari za huyo kijana kwa hiyo anataka naye mvua zimnyeshee.....simulizi tajwa hayuko tayari kuwajuza wenzie........

tatizo wote wapo kwa aidha walezi au wazazi........................hawajui kusaka mkate wao................what a waste of God given talents............
 
Ruta,
Have you ever been in that situation? I bet, you would feel like a king, especially when the people involved are queens of their own sort! Try once...you will be tempted to make a repetition!!!!
 
umri umesogea yabidi tuachie vijana wenye makeke bado.............
 
ndipo hapo huwa wanaliwa kiulaini bila ya hata kutumia nguvu nyingi na mikogo ya kila aina..

shida hapo utawala wangapi hadi ujisikie umevimbiwa na watamani kuwatapika....................................lol
 
si ujanja kwa mwanaume mchapakazi,otherwise unatafuta lawama tu mtaani kwa wazee wenye heshima zao na malezi bora.

piga kazi mzazi achana na mambo ya wanawake kukugombania,kwa huu ulimwengu ulivyobadilika ipo siku utasikia wanaume wamemcamerun then after few month naye anagombaniwa kwa utamu wake kwenye masa.b..u..r. jitahidi uonane naye umpe staha za maisha
 
nikikutana naye nitampa huu ushauri........
 
Na huko ndo atakuwa anawashika sana hasa inapotokea hao wadada hawajawahi pata mtu wa kuwakuna vilivyo lazma wadate

kumbuka mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji..............
 
Mwanamke mwenyeakili timamu anayejitambua, hawezi kugombania mwanaume, ukiona unagombaniwa yawezekana pia mwanume wewe maharage ya mbeya maji mara 1, kila mtego unaingia ala ala!sandakalawe mwenye kupata apate binti, mtoto,ajuza, ukiona unagombewa jua sio mwanaume anaekubalika kwa wanawake wanaojitambua.
 
Na kama ni wa Dar, huenda atakuwa ni mteja wa maduka ya dawa bariiiiiiidiiii!

kwa utaratibu huu basi ujue dawa baridi zitaendelea kuwa na soko kubwa.........
 
Mwanamke mwenyeakili timamu anayejitambua, hawezi kugombania mwanaume, ukiona unagombaniwa yawezekana pia mwanume wewe maharage ya mbeya maji mara 1, kila mtego unaingia ala ala!sandakalawe mwenye kupata apate binti, mtoto,ajuza, ukiona unagombewa jua sio mwanaume anaekubalika kwa wanawake wanaojitambua.

fafanua maana Saint Ivuga adai yeye yumo kwenye chati hata sababu hazielewi............................lol
 
Ruta ..hizo sababu alizozandika mbalisana inabidi nijiangalie ..ial mimi simo kwene hizo sababu alizoziweka hapo na wala mimi sio sharo kiviile labda kwa vile napiga mazoezi na kikapu kwa sana sijui
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom