Kwa anaetaka kunioa

unanivutia nadhani sitakuchoka na nipotayari kuvumilia
 
Ni intavyuu ya kazi au?

Naweza kukupenda sana leo tena sana kutokana na ulivyo na kesho ukibadilika nami upendo utabadilika tu, unadhani nikigundua umegawa tunda kwa mwingine nitakuwa nakupenda vile vile kama mwanzo tu?
 
niko tayari kuishi na wewe kwa sababu uko tofauti na wengine. Uko tofauti kwa sababu hupendi makuu, una adabu nzuri, ni mzuri kushinda wanawake wote duniani, hauna tamaa ya pesa, haujakeketwa na pia haujajichubua na kuwa mwekundu
 
ahahaaa mkuu yamekuwa hayo
 
Nipe sababu 10 kwanini unadhani unataka /unatamani kuishi na mimi for the rest of your life? Why me na sio wengine? Au mjibie mpenzi wako kwa nini yeye?
Yaani mimi nivutiwe na Ghosts wa JF? hapa nadhani utakuwa umependa keyboard. atleast kidogo facebook inasound kwenye swali lako, lakini bado kuna kina mwanakijiji wao wanatumia vikatuni ndio profile pic zao.
 
Nipe sababu 10 kwanini unadhani unataka /unatamani kuishi na mimi for the rest of your life? Why me na sio wengine? Au mjibie mpenzi wako kwa nini yeye?

sisi sote wafiwa wa wenzi wetu!!!TUTAISHI KWA MATUMAINI!!!!
 
Yaani mimi nivutiwe na Ghosts wa JF? hapa nadhani utakuwa umependa keyboard. atleast kidogo facebook inasound kwenye swali lako, lakini bado kuna kina mwanakijiji wao wanatumia vikatuni ndio profile pic zao.

We umenena wengine wote blablaaa tu.
 
1.your most beautiful women i never see in ma life
2. i love the way u take care of me
3.u so special in everything you do
4.i like the way u love ma family
5.you not gold digger
6.your easy to please
7.unajuaa kuvyaaa na kilaa nguo inakupendeza
8.unafigaa na suraa yenye mvuto so najua utanitolea watoto bombaa
9.unalugaa nzuri za mahaba,hata nikijaa na stress zangu unajua kuniliwaza
10.we ni mwanamke bora
 
Marriage is a binding contract! The clauses has to be decided by two parties, the priest/ sheikh/ lawyer will be there to ratify the agreed clauses.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom