habari wana jamii forums me ni mgen kwenye jamvi hli.mimi ni msichana nna miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili na nina mtoto.tatizo langu mi kwamba nahisi nina shida katika mapenzi kwani kwa mwaka iliopita nimekuwa ma mahusiano na wanaume watatu kwa nyakati tofauti
Tatizo ni kuwa kiukweli nina bahati cna ya kupendwa na wanaume wa ukweli tu na kila mwanaume nnayekuwa nae huonyesha niaya kutaka kunioa..lakini tatizo nnlilonalo ni kuwa nikikaa na mwanaume kma miezi mitatu tu namuacha bila sababu yyote mpaka sasa kuna b frind ambaye nlikuwa nae mwaka jana tokamwezi wa kumi na hivi naandika nimemkatia mawasiliano sijisikii kuonana nae mkaka alinipenda cna na kunijali kwa kila kitu sasa ananililia kwenye simu ananiomba niende kwake tukaongee km labda kanikosea lakini ukweli hajanikosea ila tu cjisikii kuwa nae tena
Wadau nisaidieni je naweza kuwa na tatizo su ni hali ya kawaida nachanganyikiwa kwani kunuacha.mtu mliekuwa mnapendana anaweza hata kuniloga au kubifanyia kitu kibaya pia nahisi namkosea hata mungu kwa kufanya hivi.