Hiki Nacho Kitendawili! Nikitegueje?

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Niko mikoa ya kanda ya kaskazini kikazi, nimekutana na dada mmoja ,mumewe ni mtu wa makamo, lakini dada kidogo anaonekana bado damu inamchemka, wana duka kubwa la vyakula hapa mjini.
Kwa ajili ya kufuata mahitaji dukani kwake mara kwa mara tukafahamiana tukawa dada na kaka.

Kuna siku akapatwa na shida akaniomba nimsaidie kama 350,000 atanirudishia bahada ya miezi miwili, sio mbaya nikampa.
Bado miezi miwili haijakamilika sasa, akanipa stori iliyoniacha mdomo wazi! kuwa mumewe ana matatizo,yaliyosababisha jogoo wake ashindwe kuwika.

Nilisikitika sana kisha nikampa pole! Akanambia pole haitoshi naomba msaada wako!
Nikamuuliza msaada gani anaohuitaji! Akanambia kuwa mimi ni mtu mzima nadhani nishamuelewa anachoniomba!

Sasa nimfanyaje huyu mdada nikisha mbang anaweza tena kunilipa pesa zangu?, au ananiuzia penzi kwa 350,000/= napata karibia mifuko 18 ya cement?

N:B Niliulizia washkaji wakadai kweli jamaa hamna kitu, ila mama anajiheshimu, Wakashangaa mie kupata zali eti labda ugeni wangu umesaidia? Mdada nae mkalii kitu ya Karatu.
 
Mwambie hauko tayari kumsaidia mara mbili kwa pamoja. Akulipe kwanza, halafu utafikiria hilo ombi la pili. No overlaping business.

Aaa! mamie upoo? nilikuwa nshaweweseka humu sioni mwali!
Kweli huyu anataka aniuzie mbuzi kwenye kiroba na j3 anasubiria jibu eti!
 
Aaa! mamie upoo? nilikuwa nshaweweseka humu sioni mwali!
Kweli huyu anataka aniuzie mbuzi kwenye kiroba na j3 anasubiria jibu eti!
Ulikua unanitafutia nini? Mi nipo mbona?
Huyo mama anaonekana hataki kulipa zile hela ulimkopa. Na ukizubaa utamuongezea zingine. Shtuka!
 
Mwenye thread kaenda wapi jamani? au ndio kaenda kumsaidia mama muuza duka?
 
ohooo kaka ukila tu hupati hiyo hela.arudishe kwanza halafu mambo mengine yatafuata
 
Teh teh teh Mwali mbavu zangu mie!
Ndio nilimwambia ila naona hakuniskiliza, nimemuona anaelekea dukani asubuhi hii

Nilienda kununua vocha, tena sio pale ni duka la jirani pale naogopa kila ukienda, wataudumiwa wengine wewe anakuweka mwisho ili aje akusaundishe!
 
Kwanza hiyo kesho hanioni nikipita pale ni tinted mwanzo mwisho, mahitaji yote ataenda kuchukua yule housegirl wangu!
Tena mtume HG na kanote ka kumkumbusha. Mpe option ya kulipa laki kwa wiki kuanzia monda aone kua unamaanisha!
 
Back
Top Bottom