Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mchumba wangu ni mtu wa dini sana pamoja na familia yake, tuna mpango wa kuoana mwaka huu ila sijui lini, nimemwambia anipe mimba hataki, sina raha kusema kweli hadi mwezi wa tatu ajanipa tareh ya...
10 Reactions
144 Replies
12K Views
"A recent study shows that men who are married live longer than single men, but they're a lot more willing to die." Research continue for the Reasons as to why they are willing to die, twaweza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kipele-mahali unaposikia raha zaidi pakiguswa, ni muhimu kupafahamu inasaidia sana katika kumpa raha mwenzi wako!! ukishapafahamu, tulia hapo hapo!! pia kama ww mwenyewe unapajua ni vema ukamjuza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya wasichana kuwa si waaminifu kwa wapenzi wao hali inayonipa wakati mgumu mimi ambaye nafikiria kutafuta msichana ambaye ntamsoma tabia na...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari, Jamani hivi hapa bongo kama nataka watoto wa adopt naanzia wapi? na mchakato wake wa kisheria ni hectic sana? Je kuna gharama za kulipia? Je kuna masharti natakiwa nitimize (Umri nk?)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
haya kazi kwenu akina dada na akina kaka
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida,kaka na dada ambao mama zao ni mkubwa na mdogo wamepeana mimba,stori yenyewe ilikuwa hivi,huyu msichana aliyepewa mimba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na kaka yake...
3 Reactions
73 Replies
15K Views
Huyu mpwa wangu nilimchukua kijijini miaka miwili iliyopita ili kuja kusoma haya masomo maarufu kama QT kwa maandalizi ya kufanya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu. Ingawa alifaulu kwenda...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Natafta mke wa kuoa ambaye yupo commited na god fearing awe tayari kuolewa na si kuchezeana. Awe mkristo na umri between 21-25 aliye tayari anitumie email kwenye marko7us@gmail.com
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani natamani ningerudi kama zamani... Mkuu 'PCM' amelalamika kuwa siku hizi nimebadilika, mpaka akadhani kuna mtu ame-hack ID yangu. Wakati najiunga JF, takribani mwaka mmoja uliopita...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
mimi naamini katika mahusiano ya mapenzi usiangalie kama mpenzi wako anakupenda bali wewe kama umemchagua mpende kwa moyo wako wote na yeye atakuchukulia hivyo Daima muamini na si yeye akuamini...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani, habari zenu wa jf ; nimerudi tena ,maana wanasema mambo mazuri hayataki haraka na subira huvuta heri!ni mimi kijana wa early 30's, nipo dom ,nahitaji mke msomi angalau form...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wana jf, juzi wakati nasoma my bible niligundua kitu cha ajabu kweli Adam kwa mara ya kwanza alipoamka usingizini akakuta ameumbiwa mwanamke pembeni yake akasema “ huyu ni mfupa katika mifupa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
will be glad to get a serious person from this forum.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
natafuta rafk wa kike awe na umr miaka 18-21
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijui nifanyaje,yani kila nikiznguana kidogo na gelofrendi wangu,bac ye anakimbilia kuniambia tuachane,nkimbembeleza kdogo anajirudi..sa cjui hz ndo dalili za kuchokwa au vp wakuu?
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Je kuna ukweli katika hili? Nilikuwa na mahusiano na mwanamke; akawa amepata ujauzito lakini motto akampeleka kwa Mwanaume mwingine ambaye mi nilikuwa simfahamu. Baada ya mwaka mmoja wa motto...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimesikia sikia tu kwamba kuna za bwawa cjui na kavu, nimekuwa nikijiuliza hapo kwenye kavu ikatokea imetota kwa maujanja ulomfanyia mwenzio mwenyewe tayari ni bwawa? Mnapenda ifikie chapachapa au...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Guys, I was sharing some views with my neighbour.Among of his idea which at the outset Iam compelled to buy is that: "Men usually want three qualties in wives;Economist in kitchen,artist at...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Napenda kuwafahamisha kwamba kuna raha yake kama wanandoa wakiwa wote wa wili ni wacha Mungu.Jaribuni muone kumcha Mungu na baraka tele zitafunika maisha yenu yote na watoto wenu watabarikiwa kama...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…