Hali zenu wanajamvi, huwa ninajiuliza kila siku. Kipi bora kati ya haya. Kuoa/kuolewa na mtu ambaye ana experience katika mapenzi au asiye na experience. Nikimaanisha kwamba mtu ambaye alishawahi...
Umepata msichana miezi mitatu nyuma, mmependana naye sana na ana kila sifa unayoitaka. Kuanzia umpate mambo yako yananyooka sana, unapata hela katika mazingira ya kutatanisha sana. Mara ukute...
A five year old boy who rejected his gender is now living as a girl with the support of his family, doctors and school.
Zach Avery was three when he started questioning his gender, and began...
Rafiki yangu ni mlemavu wa viungo. Kuna kipindi alikuwa vibaya kiuchumi, and that time wadada wengi walikuwa wanamkataa alipowatongoza. Mungu mkubwa akatokea mdada ambae alimpenda sana pamoja na...
Namtafuta rafiki yangu nimepotezana naye kama miaka miwili hivi na kwa bahati mbaya namfahamu huyo rafiki yangu kwa jina moja tu, sijui anapoishi ingawa yupo dar na alishawahi kunielekeza kwake...
Ni kijana mstaarabu,kakutana na binti mrembo wa haja,kwa vipimo vyake,anamuona kuwa aweza kuwa mke mtarajiwa.Kijana anamdokezea ombi lake,binti anasema hana pingamizi ila,anaye rafiki ila ni...
habari ndugu,
mimi ni kijana wa kume ninaye tafuta binti ambaye twaweza kushabiiana na kupatana vyema kisha tujenge family
ABOUT ME:
Umri:29
kabila:mjaluo/mmasai
Kazi:mwajiriwa
Rangi:mweusi japo...
Nikikishavaa viatu vya PSI, nashindwa kabisa kucheza mpira kiasi ambacho wakinadada wa mtaani kwangu, wamenitangaza kuwa si riziki, wengine wanasema nimetegwa na mke wangu, basi na maneno kibao...
Habari zenu wana jf.Nina rafiki yangu wa kiume,huu mwaka sasa unakata,tupo marafik vizuri tu,tatizo alilonalo,hajui kumtongoza mwanamke..eti yeye anasema action atakazokuwa anaonyesha kwa
yule...
1. Guys arent psychic, mind telling them what you mean?
2. Guys dont like to be used as pawns in trying to make your friends jealous.
3. Guys tend to get serious with their relationship and...
ndoa ni umoja wawageni wawili wasiofahamiana vema.kila mmoja ni kama msitu wenye vitu vyakugunduliwa polepole.ugeni huo ni chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa.
wengi hugunduatofauti zao baada ya...
Nipo morogoro chuo kikuu sokoine,natafuta mchumba wa kuoa.Nina umri wa miaka 29.sichagui rangi wala kabila.Awe mkristu.Aliye tayari tuwasiliane kupitia email josephmtonga@ymail.com
habari,niliachwa na mpnz wangu nikajitahid kummbembeleza for good 5months nilpoona pozi zimezid nikaenda kwa wazazi wake maana tulifunga ndoa ya kimila mwisho wa siku familia yake ikanipa nyumba...
habari jf.mimi ni kijana umri wangu kati ya 26-30 natafuta mke wa kuoa awe muislam mwenye heshima awe anaswali walau hata ijumaa.awe na upendo wa dhati pia awe anajua nini maana ya maisha sio awe...
Siku hizi wanaume wamekua wakilalamika kuwa wanawake wamekuwa wakipenda hela na hawamtaki mwanaume asiekua na hela.Wanawake nao wamekuwa wakidai kuwa sio kweli kuwa jambo hilo lipo na kama lipo ni...
Aswad - Don`t Turn Around (Video Clip) - YouTube
If yo uwanna leave baby
I won't beg you to stay
and if you gotta go darling
maybe it's better that way
I'm gonna be strong
I'm gonna be fine
don't...
Getting a phone number from a girl, can be fine tuned to perfection. You should be able to get 8 phone numbers from 10 conversations with girls without any problems. If you fallow the rules and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.