Nifanyaje! ili huyu mwanaume anielewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyaje! ili huyu mwanaume anielewe?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Loreen, Feb 18, 2012.

 1. Loreen

  Loreen Senior Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habarini. nina mchumba wa mda mrefu zaidi ya miaka saba ,wazazi wangu wanapenda wajukuu, na mimi nimezaliwa mwenyewe, na ndio ninatakiwa niwaletee wazazi wangu mjukuu nifanyeje? wakati mchumba wangu nikimwambia tuzae anasema mpaka tujipange? nifanyaje na mimi nataka mtoto na wazazi wamezeeka nao wanawish kuwa na mjukuu . msaada wa mawazo wakuu nifanyaje ili huyu mwanaume anielewe na sitaki kuzaa na mtu mwingine?:yawn:
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio tatizo,kwani mki-do unampa mabwepande??? Kama sio kwanin usitegeshe siku za hatari zen upate ujauzito? Au jamaa yako dushelele halina risasi? Au wewe Ngorongoro craters pana matatizo!
   
 3. Loreen

  Loreen Senior Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kingkong hajakubali tuzae ansema mpaka tujipange
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Pole sana ila yahitaji moyo kwanza kitendo chakuwa kwenye uchumba miaka 7 ni tosha kuwa nia yakuoa ilishapotea!kilichoshindikana nikukwambia sikupendi labda kwakuzingatia kipindi chote ulichomvumilia inamuwia kazi kutamka neno nimekuchoka!!ila kaa na mwenziyo muongee mwambie huu nimwaka wa 7 hata ramani haionekani je huoni kama unitendei haki??kwani umenichumbia inamaana umeziba matundu yote hakuna mwingine wakuja kunichumbia na wewe unasema ujajipanga wewe unadhani ni lini utajipanga then umsikilizie atakupa jibu gani!!:yawn:
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Nani atamlea huyo mtoto? ni wewe na huyo mchumba ama wazazi wako ndo watalea kijukuu?? kama wazazi wapo tayari kulea then no prob .....bt kama baba(mchumba) ndiye atalea(na ndio inabidi) then mwache ajipange...asije mtoto akalalia masikio bure!! si unajua life la sasa so suck.s!!

  Jipangeni....mtoto kama yupo yupo tu, haraka ya nini??
   
 6. Loreen

  Loreen Senior Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo ni kwamba nikisema nizae kwa kujilazimisha atamind,
   
 7. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama we unataka mtoto. Pick kingkong's advice. Apo haihitaji kujipanga coz we na wazazi wako wanahitaji so wewe na wao ndo mtakaolea.
   
 8. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdada,miaka 7 uchumba jaman?c mmeshachokana?,mmh!,yani hapo nyie ni wanandoa tosha kabisa,maana naamini,mnapractice kindoa ndoa,ndiyo maana umepata hamu ya kuzaa mapema,well cha kukusaidia,jitegee siku ambazo sizo,pata,au laa,mwambie akuoe,uchumba wa muda mrefu namna hiyo haudumu..na ukute miaka saba yote hiyo unamuhudumia vizuri kama mmeo.Pole,kaa nae mpange vizuri..
   
 9. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tegesha macalander mtoa mada acha kuremba, vitu vingine ukivitaka lazima ulazimishe ohooo
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Jamaa yako kashaenda kupima akagunduliwa hana uwezo wa kum-pregnant m/ke ndio maana analeta vikwazo huyo!! Kwa uhakika we jaribu kutegesha siku za hatari uone kama utapata mimba,haiwezekani ndani ya miaka saba ya uchumba yani hata kajimimba hakuna?
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mmmmh kazi kweli kweli!
   
 12. g

  gaudensia Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 25
  Jambo la msingi sana ni kutumia busara yako mweleweshe mchumba wako,muelewane,kwani miaka 7 ya uchumba ni mingi sana.Msipokuwa makini mpaka mtakuwa wazee bado mtakuwa wachumba!!!
   
 13. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Unatafuta maujanja humu jamvini ili umkamate mjamaa uzae (hilo nimekuelewa).Sasa la msingi: nyie ni wachumba mnaoishi pamoja? au kila mtu kwa wazazi wake?

  Nikushauri; ni wazi kutaka kwako kuzaa ni kwa sababu ya pressure ya wazazi na sio maamuzi yako binafsi..Wanaume huwa hatupendi kufanya mambo kwa remote control - Fikiri upya kama ni sawa kufanya maamuzi kwa kufuata wazazi ama makubaliano yenu wawili.Ameshasema anajipanga...amua sasa,kama unataka mtoto achana nae upate mtu wa kutimiza ndoto yako au endelea na mpenzi wako na umsikilize.
  Vunja ukimya
   
 14. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mtazaeje kwenye uchumba hata hao wazazi wako wanafikilia kweli, FUNGENI NDOA NDO MZAE BWANA. AAAAH DINI GANI ANARUHUSU HAYO?
   
 15. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  uchumba gani huo wa miaka 7?? unachosubiri au kujishauri ni nini ??? amua moja oa au acha ... huko kujipanga ni kujipanga gani?
   
 16. v

  valid statement JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Uchumba miaka saba???
  Na hataki mzae??
  Mbona ni kama mnapotezeana mda?
  Beba mimba kwa nguvu mana mimba mwenye anauwezo wa kupokea ni wewe. Unless kama hamlali pamoja.
   
 17. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  au uchumba wa kuitana??? wewe ndo unayeweza kufanya maamuzi isije ikawa anafikiria kitendo cha kuzaa nfo mzigo anabeba hahahah
   
 18. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Kuna hasara gani wazazi wako wakifariki kabla hawajamuona mjukuu? Wao ndio watakao mlea huyo mtoto mpaka wakulazimishe kubeba mimba? Halafu huyo mwanaume anajipanga miaka saba yote ya nini mnataka kuoana huku mkiwa mamilionea au?
   
 19. k

  kiparah JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Tafuta mtu akutie mimba
   
 20. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  huwa siamini kabisa katika ndoa za kulazimishana au kuchochea....
   
Loading...