Who better than!!!!

Hatujuwani

Member
Oct 11, 2011
51
10
Hakuna asiyejua nini maana ya mapenzi, kila mmoja wenu hapa nadhani hili swala analijua vizuri ingawa kwa mitazamo tofauti.

Sasa basi hivi majuzi nilitokea kukutana na madada wawili kwa nyakati tofauti, katika kutaka kuwajua vizuri nikaja kugundua kwamba mmoja ni Bamedi anafanya kazi baa fulani maeneo ya RIVER-SIDE Ubungo na anaishi hapo hapo Baa. Mwingine ni mwanafunzi wa chuo (UDSM) anaishi Mabibo Hosteli, Wote ni wazuri kiasi ingawa sijui tabia zao.

Hivyo basi nataka kujenga mahusiano ya kimapenzi na mmoja wapo, ila kabla sijafanya hivyo nilikuwa naomba ushauri wenu kati ya hao watu ni yupi bora anayeweza kuwa na mapenzi ya dhati kutokana na mazingira wanayoishi?

Ni ushauri tu naomba...
 
Hatujuani aiseee mbona una mambo? Huyu wa kwanza ushasema ni baamedi na anaishi baa na unazijuwa tabia halisi za mabamedi walio wengi (inawezekana ikawa si wote) kuwa ni mbaya na ni wahuni kutokana na mazingira na kipato chao kidogo, sasa unataka tukushauri nini au unafanya makusudi?
Tafakari mwenyewe aiseee, Loh!
 
Sio makusudi ndugu pengine haya mambo siyajui saana kiivyo, Mimi nilijua kazi ni kazi kama kazi zingine.
We nipe ushauri tu, nani atanifaa kimapenzi??
 
Baamedi, manake tayari ana kazi inayomwingizia kipato,,
 
Who better than. . .ni mimi tu nimependa hiyo Heading au? Who better than! ! ! The BARMAID is the better than the STUDENT. . .
 
Hata akili ya maisha aisee................I vouch Barmaid............wapi Gilesi na Eliza wa tegeta?
 
WE si juzi tu ulilalamika huna pesa ya kodi ya nyumba? Leo unataka kuoa kabisa.Hakyanani ukistaajabu ya Musa.............
 
Hakuna asiyejua nini maana ya mapenzi, kila mmoja wenu hapa nadhani hili swala analijua vizuri ingawa kwa mitazamo tofauti.

Sasa basi hivi majuzi nilitokea kukutana na madada wawili kwa nyakati tofauti, katika kutaka kuwajua vizuri nikaja kugundua kwamba mmoja ni Bamedi anafanya kazi baa fulani maeneo ya RIVER-SIDE Ubungo na anaishi hapo hapo Baa. Mwingine ni mwanafunzi wa chuo (UDSM) anaishi Mabibo Hosteli, Wote ni wazuri kiasi ingawa sijui tabia zao.

Hivyo basi nataka kujenga mahusiano ya kimapenzi na mmoja wapo, ila kabla sijafanya hivyo nilikuwa naomba ushauri wenu kati ya hao watu ni yupi bora anayeweza kuwa na mapenzi ya dhati kutokana na mazingira wanayoishi?

Ni ushauri tu naomba...

Hatujuwani

Mapenzi ya dhati hutokana na how one feels and not where one lives! So i'd to answer your question, I'd say there is fair chance that either could
 
mhhhh............

The Boss
mhhhh................nini tena? Care to expand? Or maybe I should ask je personally, do you believe that mapenzi ya dhati yanatokana na mahala mtu anapoishi?
 
Mh! the way you wrote this it seems direct dat its not real but just an idea from ur mind. GUD THOUT!!!!!
 
Back
Top Bottom