sina mapenzi

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
301
72
wana MMU naomba mnijuze sijui nnaweza kuwa na tatizo gani kwani nna umri wa miaka 40 na katika umri wote huu sijawahi kupenda
 
wana MMU naomba mnijuze sijui nnaweza kuwa na tatizo gani kwani nna umri wa miaka 40 na katika umri wote huu sijawahi kupenda

Mmh basi we ni michosho kweli(jokes)

Kama mwenyewe umejihisi hauko sawa na wenzio ni vema kama ungepata pysichologist ili uweze kupata huduma, tatizo lakisaikolojia tu hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom