''unikome, ***** mkubwa wewe''

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari zenu wakubwa,ebana jana ucku nimepokea txt kutoka kwa mmanzi wangu wa zaman yenye hayo maneno hapo juu,me nkawa nimekausha tu niusome mchezo kwanza,ikapita ka nusu saa,akanitumia tena txt nyngne akiniomba samahan,kwamba alikosea namba coz kuna mkaka anamsumbua na amemjbu hvo kiukali ili asiendelee kumsumbua,me kwa kwel cjamjbu chochote.sasa wakuu,ebu tuambiane kiutu uzima,ni kweli kwamba huyu mmanzi alikua kakosea namba au kuna namna nyingne ana maanisha hapo?
 
title ya thread haina connection na maelezo uliyowasilisha.....au nimesoma vibaya!!?.
 
habari zenu wakubwa,ebana jana ucku nimepokea txt kutoka kwa mmanzi wangu wa zaman yenye hayo maneno hapo juu,me nkawa nimekausha tu niusome mchezo kwanza,ikapita ka nusu saa,akanitumia tena txt nyngne akiniomba samahan,kwamba alikosea namba coz kuna mkaka anamsumbua na amemjbu hvo kiukali ili asiendelee kumsumbua,me kwa kwel cjamjbu chochote.sasa wakuu,ebu tuambiane kiutu uzima,ni kweli kwamba huyu mmanzi alikua kakosea namba au kuna namna nyingne ana maanisha hapo?
jaribu kuposti kistaarabu kuhusu wanawake napita tu hapa
 
Alidhamiria kukutukana hakuna kingine, alipoona upo kimya ikabidi aombe msamaha!
 
Mkuu kwani hujui jinsi wanawake wanavyotaka ujue kitu??hapo inawezekana ujumbe umekulenga direct lakini kakausha,kazi kwako!
 
hata kama alikuacha au alikuwa na mpango ila sasa hivi kaona abadili mawazo

lakn mbona tuliachana kwa aman tu na bado tukawa tunawasiliana ka marafik wazur tu,sa iweje leo anitukane hvo?
 
Back
Top Bottom