Natafuta rafiki ambaye yupo serious na ambaye ni mpole na asiyekuwa mkali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta rafiki ambaye yupo serious na ambaye ni mpole na asiyekuwa mkali

Discussion in 'Love Connect' started by jozzb, Oct 23, 2011.

 1. j

  jozzb Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jina Langu: Tina
  Jinsia yangu: mwanamke
  Umri wangu: kati ya miaka 32 - 36
  Natafuta: rafiki wa kiume kwa ajili ya long term relationship
  Umri wake: uwe miaka kati ya 33 - 37
  Jinsia ya rafiki: awe mwanaume
  Nchi ninayoishi: Nipo Europe

  Nch anayoishi: awe anaishi pia nje ya Tanzania
  Umbo langu: wastani
  Muonekano wangu: wastani
  Oa/Olewa (mimi): sijawahi kuolewa
  Oa/Olewa (yeye): awe hajawahi kuoa, asiye na mke wala mchumba
  Mtoto (mimi): sina mtoto
  Mtoto (yeye): asiwe na watoto
  Dini yangu: mkristo
  Dini yake: pia awe mkristo
  Sigara (mimi): sivuti
  Sigara (yeye): asivute
  Pombe (mimi): situmii pombe
  Pombe (yeye): asiwe anakunywa pombe au awe anakunywa kidogo ila asiwe mlevi
  E-mail yangu: tinakambi@yahoo.com
  Simu: nitampatia baada ya kufahamiana

  Maelezo zaidi: Natafuta rafiki ambaye ni mpole, asiyekuwa mkali, mcheshi,

  mstaarabu, ambaye yupo serious na ambaye anaishi nje ya Tanzania. Pia Mungu
  akijalia tufike mbali kwenye ndoa na awe tayari kupima ukimwi.

  kama unatafuta mchumba ama rafiki,tafadhari tembelea kwa kubofya hapo chini:

  <<NATAFUTA MCHUMBA MWAMINIFU>>
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Good luck
   
 3. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,648
  Likes Received: 4,383
  Trophy Points: 280
  Tulioko bongo ndo umekula kwetu??
   
 4. j

  jozzb Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kuna wabongo wengi sana pia.jaribu kutembelea
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa hyo ce under 30 ndo imekula kwe2?
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  32 mpaka 36 bado hajaolewa mpaka leo???.. Wala hana mchumba??? Hiyo ni kali..

  Kila la kheri!..
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hapo sasa, 32 -37 hana mtoto, hajaoa na hana mchumba! Nadhani anatafuta kupigwa fix na mafisi maji. Je kabila awe kabila gani, elimu yake pia aanzie wapi?
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hii ni love connect au ni tangazo la Blog..?

  Hivi kuna umuhimu gani wa kuweka hii link au huko ndio nitamjua Tina vizuri...,:(

  Kama ni issue ya matangazo ya Blog kuna forum ya matangazo madogo madogo weka bandiko pale
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  umesahau na dini.
   
 10. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii imekaaje?! Ni tangazo la site ya malovee au unasaka mchumba?!
  Kama ni mchumba, kwa sasa baadhi ya vigezo nimeangukia pua! Mfano hicho cha umri itabidi niongeze bidii! Na hicho cha nje ya bongo niko nusu sababu niko Misrata na mwezi ujao nitatembelea Kismayu. Si afadhali ningekuwa bongo kabisa! Kwa hiyo nikutakie kila la heri na nikuage kama ifuatavyo.......
   
 11. Gabrielmkumbo

  Gabrielmkumbo Member

  #11
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuuh¬° mi mwnyw nakuunga mkono uko right kabisa coz mpendwa hapo kabugi ctape kwnz umri tu nkikwazo.
   
 12. Gabrielmkumbo

  Gabrielmkumbo Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila tucmkatishe tamaa mi nakushauri ukomae kwny facebk labda utaja bahatisha,mi nakutakia kila la kheri
   
 13. Gabrielmkumbo

  Gabrielmkumbo Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa sababu we mtanzania mwen
  zangu nakutakia kila la kheri ungekuwa umetoka nchi nyingine ningekupa pole coz umechelewa.
   
 14. Gabrielmkumbo

  Gabrielmkumbo Member

  #14
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukimpata usisahau kutuarifu mpendwa au wapenda uende kimya kimya ki jay mo?
   
 15. Gabrielmkumbo

  Gabrielmkumbo Member

  #15
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi niwahapahapa cpo nje ya nchi hivyo mi nkama mtazamaji, wewe ndo mchezaji uwanja ni wako uko free kabisa.iz g.w.m frm tabata bima in dsm
   
 16. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,874
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Umenipata nipo ILLINOIS,CHICAGO, Kitongoji cha NAPERVILLE ur warmly welcome dia
   
 17. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,874
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  hahaaa tbt bima ni kitaa kwangu huko nikiwa Tz, mimi home ni karibu na kanisa la kristo mfalme parokia ya tbt
   
 18. Gabrielmkumbo

  Gabrielmkumbo Member

  #18
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko tbt pand zp? kwanza umemsoma mpendwa wetu? ss wazawa imekula kwetu.
   
 19. Gabrielmkumbo

  Gabrielmkumbo Member

  #19
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sema uko karb na swiz pub au nmekosea?
   
 20. Gabrielmkumbo

  Gabrielmkumbo Member

  #20
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sema uko karb na swiz pub au nmekosea?
   
Loading...