mahusiano

mkazamjomba

Member
Jan 27, 2012
61
21
jamani ndugu zangu mie ni mgeni humu lakini ningependa tubadilishane mawazo naitwa mkazamjomba busara ingetumika kuliko mzaha naomba mnikaribishe nijue tunabadilishana vipi mawazo najua mna mengi na mie nina mengi nipeni utaratibu wa kuwa member mwenzenu
 
haya chukkua zawadi ..ila karibu
zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz.jpg
 
Ahaaaa uwe member mara mbili sasa wewe si ni member tayari?
Hebu sema unataka nini acha uoga?
 
Karibu sana
Na tayari u member mwenzetu ..

Hawa hapo chini ndo wataalum wa majukwaa wanaoweza kukusaidia kwa karibu zaidi .. unaweza kuwatumia PM [private message]

MMU.. ..... Lizzy, Mwanajamiione na Mbu
Doctor..... mkuu MziziMkavu
Kwa wa kubwa..... Maria Rosa , Invisible
Chit Chat ... Smile , Bebii, Kongosho
Picture..... Eltoro, St Ivuga
International.... BAK, Nyani ngabu, MTM, EMT
sports.... Rutashubanyuma
Siasa.. Mwanakijiji, Gaijin, Women of Substance
Jokes.... First Born
Utambulisho.... Katavi

Ukishindwa popote ni PM mimi ..
Enjoy :)
 
ahahaaamimi huko hatonikuta mimi ni mmu tu kule yupo jane 000 na gm mpoleee
 
jina lako mbna la utata? au ndo nyie mnakula wajomba zenu a.k.a watoto wa dada zenu!
 
Karibu sn mkuu,fuata mwongozo hapa juu na taratibu utaelewa tu!hata sie kuna wakati tulikua wagen km ww!
 
jamani ndugu zangu mie ni mgeni humu lakini ningependa tubadilishane mawazo naitwa mkazamjomba busara ingetumika kuliko mzaha naomba mnikaribishe nijue tunabadilishana vipi mawazo najua mna mengi na mie nina mengi nipeni utaratibu wa kuwa member mwenzenu

karibu hapa usiwe muongo tu uwe mkweli kama mtambuzi na muulizaji wa maswali kama rejao..
 
Sikuhz wageni wanabisha hodi mlango wa chumbani? Si kunajukwaa la utambulisho kule au ushapita?? Karibu.
 
karibu hapa usiwe muongo tu uwe mkweli kama mtambuzi na muulizaji wa maswali kama rejao..
Heee...usipotoshe ukweli kabsaaa!
Hebu waambie kuwa wewe ni mzee wa kufagilia matajiri tu aka unapenda fweza!
 
Back
Top Bottom