nimfanyeje huyu dada? nahisi anataka kunigeuza atm.

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,142
27,105
Aliwahi nikubalia na tukaachaana miezi michache baadaye(2008), nilimpotezea japo japo alikuwa akirudi kwa kuvizia(mawasil iaono ya nadra), niliamua kusonga mbele kwan hakuonesha kunihitaji kwa namna yeyote. Mwaka jana mwishon nilimtafuta kwa lengo la kumjulia hali, tuliendelea kuchatt huku akiuliza ikiwa nimepata kazi..nilimkubalia japo sikuwa na kazi yoyote...hapo ndipo alipoanza kuniganda,,sms na beeping zikawa hazikauki na akaanza kunielezea shida zake ikiwemo pesa. Majuzi kwa makusudi nilimgusia kuhusu msimamo wake ktk mapenzi{kuolewa }, chaajabu alitoa kauli za kukatisha tamaa kana kwamba hajui nini nahitaji toka kwake{cyo za kunikatisha tamaa maana nilishakata tamaa kitambo}, alikuwa akiongea hayo huku request yake ya pesa ikiwa pending....leo kanibip kamamara 3, nadhan anakumbushia pesa. Ninachojiuliza> nimpe pesa kama nani kwangu<siyo kukopa>, huu ujasiri anautoa wapi? Au bdo anaamin nampenda hvyo nitampa tu kama ilivyokuwa mwanzo? Sielewi na pengne sijielewi wakuu..
 
Si ulimwambia unafanya kazi?
Ni kazi gani umemtajia??, labda kazi ulomtajia unafanya, na kiwango cha hela anachokuomba vinawiana.Na kumbe kazi wala huna.
 
Sasa hapo usaidiwe nin tena na wkt mwenyewe ulishaga mzoesha kumhonga!
 
so ulijifanya we ndo atm ya benk ndo maana anakuja kuchukua hela. Kama humtaki unamwonyesha mapozi ya kazi gani?
 
Sio lazima umsaidie lakini vile vile kama una uwezo unaweza kumsaidia bila strings. Kwani lazima upate something in return ukisaidia?
 
Ana akili saaana huyo mwanamke! Huo ndio mshahara wa kusema uongo!

mkuu sasa nina kazi, kipindi hicho nilimwambia kutaka kuona attention yake kwangu...siyo kwamba sina uwezo wa kumsaidia
 
Umekosa repläcement wewe..!! Na hyo bint anajua bado upo single..ndo tabu hyo.
 
Unajiuliza hili swali, hizo hela unazo? Tena ungemuambia unamiliki saccos kabisa! Ungekuwa unafaa walau kuchuna tungekushauri. Hiyo sentensi ya mwisho inahusika zaidi!
l Ninachojiuliza> nimpe pesa kama nani kwangu<siyo kukopa>, huu ujasiri anautoa wapi? Sielewi na pengne sijielewi wakuu..
 
Kwanza uko single......pili unamuimpress kwa saaana!! Istoshe we hujielewi elewi....yaani wampenda ila hutaki kuadmit hata kwako we mwenyewe!!! Ebu jitazame upya na utoe msimamo wako.
 
Back
Top Bottom