Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni mdada, Natafuta rafiki wa kuchat naye, iwe serious + fun chating, kubadilishana mawazo na kupeana idea tofauti za kimaisha zaidi. Awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea popote...
3 Reactions
26 Replies
9K Views
Wana jf naombeni ushaur wenu nipo ktk kipnd kigumu sana,nina mpenz wangu wote tunapendana ila kati 2lisalitiana bt tukaahd kufungua ukurasa upya wote 2we wa kweli na 2kapenda kutokana na kutafuta...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Wapendwa wanaJF naombeni ushauri kuhusu ili: dsfffffffffffffffffffffffffffsadasdasdasdasdasdasdas gdfgdfgdfgdfgdfgdfgdfgd
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hellow MMU. Katika maeneo mengi nimeona apple likitumika kama ishara ya upendo/mapenzi. Wakati fulani niliona katika engagement pete imefichwa kati kati ya apple. Shemeji yangu wakati anaolewa...
0 Reactions
33 Replies
12K Views
Ndugu zangu wana jf. Mwenzenu yamenikuta. Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma. Sasa kimbembe...
6 Reactions
179 Replies
15K Views
Eti ni siku gan wanamke baada ya mp anaweza pata na kutopata mimba kwa yule anaepata mp baada ya siku 28
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wote tunajua kwamba hakuna kitu mtu hawezi kufanya “in the name of love”.., iwe kuiba, kusema uongo, kufuja pesa, kutapeli… n.k. Hivyo basi badala ya kumwona anayetenda (kufuja mali, kuingia...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Bandugu hii Nashera hotel sasa imepata umaarufu wa aina yake mjini Moro. Nilikuwepo juzi kati kula bata viunga hivyo. Adam Malima toka afanyiziwe katika hotel hii basi umaarufu wake umekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na wale ita wa tachi Everything you are Everything you'll be Touches the current of love So deep in me Every sigh in the night Every tear that you cry Seduces me And all that I am And all that...
2 Reactions
4 Replies
834 Views
Majira ya kiangazi ndiyo yanazidi kukolea kwa wabeba maboksi. Hata hivyo mbeba maboksi mwanagenzi amegundua balaa lingine ukiacha lile la vinguo vifupi ambavyo ufupi wake unazidi kupindukia kadri...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
.....Eti wandugu,jana tulikua na ubishi sana na warafiki wengine na nimeamua kuleta hapa debate hiyo... Nataka kuwauuzia hii kesi... Ukiingia baa au pub na ukamuona binti mreeembo sana...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni mwaka wa tatu toka afunge ndoa na mumewe, mumewe ni Dereva kwenye kampuni ya......... (Naistiri) amepatwa na ugonjwa wa kupararaiz mwaka jana. Baada ya jitihada kubwa za madaktari kwa sasa...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Wana MMU... Habari za week end? Naleta kwenu hii thread ili tumsaidie rafiki yangu, kuna mshikaji wangu wa karibu sana ana mahusiano mabaya sana na Baba yake mzazi, kwa muda wa miezi nane sasa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Hello JF? Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:- JINSIA : MWANAMKE UMRI: >= Miaka 18 ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu KAZI: Awe ni Mfanyakazi au mwenye kuingiza kipato halali DINI...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kule kwenye siasa watu wamewazodoa sana baadhi ya wale wagombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa kutojua vizuri Kiingereza. Wale ambao wameonekana kujieleza vizuri kwa Kiingereza wengine wamewaona...
0 Reactions
64 Replies
14K Views
The demand by Uganda women to have a clause in the Domestic Relations Bill that allows them to divorce men with bigger organs is something interesting because it confuses one on what exactly...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenyu wana jf.nimerudi tena kuomba ushauri kwenu! Mwenzenu nina mpango wa kuongeza mke wa pili sababu naona ntakonda bure na hii hali ya mke kunipangia ratiba ya kunipa unyumba nashindwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Apa mtaani kwetu, kuna jirani wangu anaishi na mpenzi wake BUT Mwanaume ndiyo kamfata Mwanamke nyumbani kwake nukuta CHAMAAJABU: Huyu JAMAA Uwa anamwamkia uyu mwana dada, Na sasa wamefanikiwa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimuda gani/ Umri gani kijana anatakiwa kuoa/ kuolewa? na anaowa/olewa kwa sababu gani,kwa sabau wenzake tayari,upweke,tamaa au haolewi/haoi kwa sabau hana kipato?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi wanawake wanavaa nguo ili kuwa'impress wanaume??au wanavaa nguo zao ili ziwapendeze............Ninamaanisha 'assume kungekua hakuna wanaume,wangeendelea kuvaa nguo za kubana,fupi sana,za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom