Swahili singles!

ngoja waje wanaotaka.

Umepewa u-promotion manager? Ni 10% au 50%?
Kama vipi ni-sub contract nianze kampeni mie unanipa 40% ya malipo yako.
 
mkuu hiyo website ni yako na unatafuta members??
maana umeifungulia thread zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom