Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za pilika waungwana? Naombeni busara zenu wajameni! Mpenzi amenitia jeraha la moyo? Mi nilikuwa na demu, tulipendana sana na ukweli nilimuamini sana na nikawa namtimizia kila kilichokuwa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Its this my machine operator, anaishi na mwanamke mitaa ya mabibo na wana motto mmoja. (hawajafunga ndoa) jamaa kajitahidi kapata kiwanja CHANIKA. Na kajenga kibanda chake sasa anataka kuhamia ili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Friends i have found a great site for swahili.........place to chat,dating,,,etc first 100 people from now up to april 24 will get 2yrs Gold membership please hurry up to sign up...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Hi, natafuta rafiki wa kike menye sifa zifatazo.. 1.Awe ana kazi. 2.Umri kati ya 20 to 35 3.Mchapa kazi .................. .....................
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi...
12 Reactions
175 Replies
11K Views
but under only one condition she should not:cool2: be over 25 yrs old
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Live Court – judgment of Louise Woodward: The Closing Argument that convicted Louise Woodward Eye To Eye: Barry Scheck (CBS News) Ndio kwanza alikuwa amemaliza masomo yake ya...
11 Reactions
28 Replies
4K Views
Mimi Hassan Said nasikitika kuwa ule ujumbe nilioutoa tarehe 20 mwezi 3 mwaka 2012 kuhusiana na kutafuta mke kupitia jf , nasitisha rasmi zoezi hilo leo tarehe 30 mwezi 3 mwaka 2012 kutokana na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Helow Helow MMU, kuna shost angu ana boyfriend wake na wamedumu kwa muda wa miaka miwili sasa ila shida ya huyo bf hamjali in all aspect, shost keshavumilia mpaka maji yamefika shingoni...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ndio, inaweza kutokea wanandoa mkajikuta mna wakati mgumu kifedha. Kama mnavyojua kwamba hali ya uchumi imebadilika na maisha yamekuwa magumu sana, inaweza ikawa imesababishwa na kuyumba kwa...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Inaendelea toka part 7 "Sikuachi ng'oo, hata ufanye nini" Meseji ilisomeka hivyo. Sikumbuki nini kilinipata baada ya kuisoma. Tulikutana kazini tena, lakini hali yangu ni wazi ilidhoofu. Rafiki...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu kuna njia nimeamua kuiendea...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
32yrs ndo umuri wangu. Kimaumbile kiungo changu cha kiume ni kidogo kiasi kile kikiwa ktk hali ya kawaida ni kama 2" hivi na katika ile hali ya kutumika ni kama 3.5" hivi nimshukuru mungu...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Usipime, mpaka nikaamua kumuoa, nilijua chakula hiki hakitaisha hamu ni maarufu na ndicho ninachokipenda na nilidhamiria kuhakikisha sitakichoka. Nitakiweka kwenye fridge na kukipasha kila...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
:A S crown-2:naomba Mnipokee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanajamii hakuna kitu kinadumisha mapenzi kama ukiwa na mwenzi wako na mnaaminiana na pale unapomhitaji unampata!na akiwa kwenye shughuli zake kakuacha nyuma kakuacha na simu yake!Mpaka unahisi...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni furahi day tena wana MMU.ninaomba ushauri wenu hata kwa men ruksa kuchangia.nili mtokea dada mmoja nilimfukuzia kwa miezi kama mitatu kwasababu alikuwa nataka sitaki iliniwia vigumu kumwelewa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamaa kachelewa kurudi nyumbani na kodi ya meza hakuacha asubuhi mama akaamua kujichukulia sheria mkononi kwa kumshushia kipigo kama vile anamwadhibu mwanae. Jamaa hakufua dafu na wala hakurusha...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Napenda kufahamu tu, Kila mmoja ana rafiki wa karibu (best friend) Kwa wadada haswa,mna best friend wa kike..... Ambaye mmepita katika milima na mabonde pamoja... Mmeshirikishana pale...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Jana wkt naangalia taarifa ya habari TBC kuna habari moja walionyesha toka mikoa ya kanda ya ziwa mtoto wa miaka kumi alikuwa anaishi na mama wa kambo, mama wa kambo huyo alikuwa anampaka pilipili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom