MSANII machachari wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael Lulu, juzikati alianika kuwa hatarajii kudanganyika kwa chochote mwezi huu hadi majira ya Kwaresma yatakapomalizika.
Akizungumza na paparazi...
If you had almost five billion dollars, what would you do? For Karl Wlaschek, the answer is marry a lot.
Forbes is reporting via Vienna News that Austrian retail tycoon Wlaschek will wed for...
Kwa kawaida wanaume na wanawake wanazo tofauti za kimaumbile. Kuna wakati tofauti hizi huweza kusababisha ufa kwenye uhusiano na hata kuangusha kabisa ndoa. Leo nimeona ni vyema kwa wanawake kujua...
Most university students at high risk of HIV infection`Urgent and concerted effort is needed to rescue students in higher learning institutions from contracting HIV/Aids, a survey has revealed...
Tulikua wapenzi kwa muda mrefu ila kulitokea kutokuelewana kwenye mwezi wa 2, kwa kushindikizwa na familia yake wakaamua kukubali posa ya mtu mwengine! Ila sasa mapenz yamerudi tena kwa kasi kubwa...
Uchunguzi wa muda mrefu wa suala hili ulibaini kuwa katika klabu,
kasino na sehemu nyingi za starehe jijini Dar es Salaam,
kuna idadi kubwa ya wanaume wanaojiuza kwa mijimama ya mjini yenye...
Mwandani wako kaifumania soksi kwenye mfuko wako wa suruali au kwenye kibeti chako. Hivi utajieleleza vipi?.......au utajitetea vipi? Nyie mambo yenu ni pekupeku maana mnaaminiana sana tu sasa...
"Bwana Mungu akasema, Si Vema Huyo Mtu Awe Peke Yake, Nitamfanyia Msaidizi Wakufanana nae, KATIKA BIBLIA MWANZO 2 :
21.Bwana akamletea Adam usingizi mzito nae akalala kisha akatwaa ubavu wake...
Kweli maisha ni kitendawili
na leo nimethibitisha wengi hufa bila kutegua.....
hebu fikiria hiii
kuna wanawake na wasichana wangapi
ambao pengine walikuwa wako tayari kumpa 'faraja na amani na...
Kuna wanawake ambao kwa lugha ya mazoea tunasema wamewatawala waume zao. Yaani wao ndio wenye kauli ya mwisho katika nyumba na pia hutumia vibaya madaraka hayo kwa kuwanyanyasa waume zao. Akina...
tunaishi mikoa tofauti, naamini tunapendana, japo kuonana kwetu ni mara chache sana. kutokana na umbali na majukumu. sote ni watu wazima, aliwahi kuoa, akazaa watoto, it didnt work wakaachana. na...
Compliments can be indispensable to both finding love, and keeping its flames burning once you're in relationship. But we, African lovers are no longer satisfied with words of praise such as...
Wapendwa
Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed.
Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye...
kuna binti mmoja ni mpenzi wangu kwa sasa,na tangu tuingie kwenye mahusiano karibia tunamaliza miezi sita sasa.kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu binti hataki mimi nimuite majina ya...
Hodi wana jf nakuja kwenu kwa mara ya kwanza nikiwa nimetingwa na lillonisibu mchana huu juu ya malezi ya wanetu.
naomba mnisaidie majibu hasa ya kunielewesha manake kama shule basi basi...
Mara nyingi nimekuwa nikisikia na kusoma kwenye majarida mbalimbali ya mahusiano,kuwa wanandoa wanaweza kukaa mwezi mzima bila kupeana haki yao ya ndoa! Mara nyingi chazo kinasemekana ni mwanamke...
Raia wawili wa ujerumani wamekataliwa kuishi pamoja na mahakama ya haki za binaadamu ya umoja wa Ulaya.
Watu hao ambao wana uhusiano wa muda mrefu na ambao tayari wana watoto wanne, wawili...
Ujana (18-35) ni wakati wa kutengeneza maisha yako ya baadaye. katika elimu au ktk shughuli za maendeleo, ukicheza ktk kipindi hiki finali yako itakua ngumu sana. Nikiwaangalia huyu Fataki na suga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.