Mke wa bosi na bosi wangu!

Raia Safi

Member
Mar 24, 2012
53
9
Bosi na mke wake wananishagaza sana.
Nina miezi 6 tungu niajiriwe(opr manager)kampuni hii binafsi ya Muasia.
Kila inapofika lunch time bosi huniomba nikamchukulie chakula nyumbani kwake kwa gari yake,awali nilona jambo la kawaida,baada ya kuzoeana na mkewe vituko vilianza,nikfika napewa chakula nile ndo niondoke na cha bosi! Siku moja alinilazimisha kumgono,nlipokataa akasema atamwambia bosi nlitaka kumbaka! Ikabidi niwajibike! Kitu cha ajabu zaidi kadri siku ziendavyo bosi anazidi kua karibu yangu hadi anataka niende matembezi ya usiku na mkewe ama akisafiri ananiomba nilale kwake,na leo anataka nimsindikize mkewe Nairobi! Kwakweli nashindwa nifanyaje,kazi naipenda kwani nalipwa vizuri,nalipiwa nyumba,private trans nk! Jamani nifanyaje kwani najihisi nabakwa!! Ushauri wenu nauhitaji jamani (kwa sasa nipo single ila nna girl friend nimpendae)
 
Utakua umeajiriwa kwa kazi maalum ww! Wana watoto hao wanandoa?........ Mitihani mingine balaa!
 
Bosi na mke wake wananishagaza sana.
Nina miezi 6 tungu niajiriwe(opr manager)kampuni hii binafsi ya Muasia.
Kila inapofika lunch time bosi huniomba nikamchukulie chakula nyumbani kwake kwa gari yake,awali nilona jambo la kawaida,baada ya kuzoeana na mkewe vituko vilianza,nikfika napewa chakula nile ndo niondoke na cha bosi! Siku moja alinilazimisha kumgono,nlipokataa akasema atamwambia bosi nlitaka kumbaka! Ikabidi niwajibike! Kitu cha ajabu zaidi kadri siku ziendavyo bosi anazidi kua karibu yangu hadi anataka niende matembezi ya usiku na mkewe ama akisafiri ananiomba nilale kwake,na leo anataka nimsindikize mkewe Nairobi! Kwakweli nashindwa nifanyaje,kazi naipenda kwani nalipwa vizuri,nalipiwa nyumba,private trans nk! Jamani nifanyaje kwani najihisi nabakwa!! Ushauri wenu nauhitaji jamani (kwa sasa nipo single ila nna girl friend nimpendae)

jilie vitu vyako uende zako. bosi yawezekena hana uwezo wa kum-do wife wake, so ameona ukimtumia wewe atakuwa kwenye mikono salama kuliko akienda mbali. na kwa taarifa yako, hiyo sio bahati mbaya, jambo hili wao walishalijadili kama wa-ndoa. akili yako iki-charge utachuma vingi kupitia K ya huyo mama.
'' now eat your food yooo!!!!!!!!!!!
 
sasa wewe sii tayari ulishaonja endelea tuu bana....alafu mie na wasiwasi jamaa hafunction vizuri so kaweka mazingira ya wewe kumridhisha mke....hamna mwanaume mwenye akili atakuambia ukalale nyumbani kwake wakiti yeye hayupo.....hapa kuna kitu huyo mume amepanga
 
Kafara hiyo mkuu. Ukigonga tu huyo kitu, na wewe unasepa. Kaage kabisa kwenu.
 
Bosi na mke wake wananishagaza sana.
Nina miezi 6 tungu niajiriwe(opr manager)kampuni hii binafsi ya Muasia.
Kila inapofika lunch time bosi huniomba nikamchukulie chakula nyumbani kwake kwa gari yake,awali nilona jambo la kawaida,baada ya kuzoeana na mkewe vituko vilianza,nikfika napewa chakula nile ndo niondoke na cha bosi! Siku moja alinilazimisha kumgono,nlipokataa akasema atamwambia bosi nlitaka kumbaka! Ikabidi niwajibike! Kitu cha ajabu zaidi kadri siku ziendavyo bosi anazidi kua karibu yangu hadi anataka niende matembezi ya usiku na mkewe ama akisafiri ananiomba nilale kwake,na leo anataka nimsindikize mkewe Nairobi! Kwakweli nashindwa nifanyaje,kazi naipenda kwani nalipwa vizuri,nalipiwa nyumba,private trans nk! Jamani nifanyaje kwani najihisi nabakwa!! Ushauri wenu nauhitaji jamani (kwa sasa nipo single ila nna girl friend nimpendae)

Kijana, jitafutie kazi sehemu ingine taratibu na omba Mungu hilo pepo lisikukae kichwani ktk hiko kipindi, unaweza ukafanya jambo hilo ukategwa na kutendewa mambo mabaya sana utakayoyakukumbuka siku zote za maisha yako. Ukishapata kazi mpya, resign kwenye kazi yako ya sasa taratibu bila kuvuruga ndoa ya watu, utaumia.

siku zote kumbuka kuwa mke wa mtu ni sumu !
 
Kama hawajaset ili wakutoe kafara basi katambike.

Wahindi na wake zao wana uchungu, afu weye ngozi nyeusi umle bure bure tu. Kuna jambo tena kubwa sana.

Afu, umeamua kuifungulia hii nyuzi ID mpya, njoo kwa ile ya kila siku ili story ilete utamu bana:redface:
 
mmmmmh hapo kuna walakini......
Wanalao hao....tafuta kazi mapemaaaaaaa

halafu job description yako ilieleza kuwa utatakiwa kumchukulia bosi chakula? Maana matatizo mengine mnayatafuta wenyewe........
 
Kwa muhindi kuna JOB DESCRIPTION?
 
Haya mapya loh!
Na wewe unajiona mwenye bahati enh?anza kugawa urithi mapema kabla hayajakukuta makubwa!
Ungekua na busara ungemuuliza kisa cha boss kukubebesha mzigo wote huo kama houseboy ki2 gan?kuna mchezo nyuma ya pazia hapo!
 
Duuh Operation Manager, Driver and then Delivery Boy and now Escort wa Madam., nafikiri umeyataka the day ulipokubali kuwa na mutiple designation.
 
Operation manager na kutumwa chakula kila siku inatokea wapi
Na hii ya kwenda nairobi nani atabaki kufanya kazi yako
Au wewe ni dereva tu
OTIS
 
Kama wamekubaliana utembee na Mke wake ... kuwa makini

Kama Mumewe anakutengenezea mazingira ya wewe kutembea na Mkewe kwa sababu hawezi kumpa haki yake ya ndoa

... Je yeye mumewe hamu zake binafsi anazimalizaje?

Angalia mbele ya safari na Mume asije kukuambia Um-Kamerun?

Back
Top Bottom