Chochonde,tunapofanya madudu yetu,hebu tuwakumbuke watoto alaaaaa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chochonde,tunapofanya madudu yetu,hebu tuwakumbuke watoto alaaaaa!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Mar 29, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Inafahamika kuwa,inapotokea mtoto akazaliwa "nje ya ndoa",mtoto yule ndo anaadhibiwa kwa kuitwa jina baya sana,eti mtoto haram(silipendi kabisa jina hili).Pia mwanandoa mmoja anapocheat na akagundulika na ndoa kufa bado watoto wanakuja kupata adhabu ya kuishi malezi ya mzazi mmoja na pengine malezi ya hatari kama mzazi mmoja hatakua imara,na pengine mzazi atawatelekeza watoto na watoto kubadilika jina na kuitwa watoto wa mtaani utafikiri mtaa ndo umewazaa,au huitwa "chokoraa" kwa sababu ya starehe ya mtu mmoja.Yapo matatizo mengi yanayosababisha viumbe hawa wateseke usiku kwa baridi kwa sababu hawana pa kulala kisa mama au baba maisha yamemshinda na kuwatelekeza.Hivi dhambi hizi kubwa namna hii ni mwanadam mwenye akili anazifanya kweli?Wengine unakuta ana watoto utafikiri ameahidiwa zawadi kwa kuzaa,watoto wenyewe shule hawaendi kama wanaenda hawana hata viatu na shati la shule halijulikani rangi,hivi umelazimishwa kuzaa?Jamani haya majina sijui mtoto haram,mtoto wa mtaani n.k,nani kayaleta?Kwanini tuwaadhibu watoto kwa makosa yetu?Jamani tunapofanya madudu hebu tukumbuke viumbe visivyo na hatia aidha vitakavyopatikana kutokana na kitendo hicho au kama unacheat na una watoto,hebu fikiri ukijulikana wanao watakua na maisha gani?
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Halafu ukimuuliza mtu kwa nini hatumii condom
  anasema hapendi ladha yake. Kweli???
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  utoaji mimba uhalalishwe ili kuupuka mimba zisizotarajiwa
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Shame on them!
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe, uzembe wa sisi kama wazazi huchangia adhabu na mateso kwa watoto wasio na hatia. Tujaribu kuwa na Utu na Uungwana tunapoishi hapa duniani, yasije tukuta makubwa huko tuendako.
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  What?Kwanini usuzuie mimba kutokea?
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Elimu ya kuzuia mimba ni ngumu ila ya utoaji mimba kanuni zake zinaeleweka
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Nice one!Congratulation!
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Nani kasema ni ngumu?Rahisi sana,acha kufanya ngono au tumia kinga!
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  sikubali kabisa mtoto aitwe Haramu, haramu ni hao wawili waliofanya uzinzi na uasherati, wanajua kitendo hakiruhusiwi ila kwa kukwepa guilty wanamsukumia mtoto

  nakataa nakataa nachukiaaaaaaaaaaa
   
 11. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Picture this;
  Kisha hao watoto wakikua either wawe changudoaz au majambazi. Majambazi wataua watu na kuacha watoto wengine yatima ambao yamkini wakaja kuwa tena watoto wa mitaani. Changudoa wataambukiza ukimwi wanandoa watoto watabaki yatima na wataongeza idadi ya watoto wa mitaani....and so on and so on! Hili ni janga la kijamii- linakuja kuwapata hata wasiohusika!
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  aaaah we mkikolea kinga mtakumbuka saa ngapi?
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa ufafanuzi wako mzuri!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Sisi sio mbuzi ni wanadamu,u can control yourself!
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kuna hii tabia ya wazazi kuweka heshima bar na vilabuni, nyumbani wanae wanashindia mlo mmoja! Au anajifanya mstari wa mbele kuchangia faranga chafu kwenye masherehe na makongamano....wakati watoto wanatembea ma..t..ko wazi! Sio sifa wala nini ujinga tu!!
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Tena ujinga mkubwa!
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mlikatazwa kuvaa kabla hamjaanza kukolezana??
   
 18. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Kwanini mimba zilazimishwe kutoka, wakati mna uwezo wa kuzuia mimba isitungwe vipi kama wewe ungetolewa ungengia JF ukiwa akhera? gharama za uzuiaji zinapatikana bure jamani. Inasikitisha sana kusikia / kuona watoto wakinyanyasika mitaani.
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Thanx kipipi 4 a nice question!
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Eti bana!Kwanini usubiri mpaka mti uote?
   
Loading...