Jamaa yangu hajui............

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Mwanamke anafanya kazi nbc , alikuwa akimpa kila kitu, (JAMAA) kazi yake yeye ilikuwa ni kutoa huduma ya ngono tu, hapo mwanzo mwanamke alikuwa radhi kwa hali ya ufukara aliyonayo jamaa yangu, na alimtambulisha kwa ndg zake hadi mama yake mzazi, mwezi huu mwanzoni inaonekana amepata jamaa mwingine , akamuambia jamaa yangu amtafutie laki nne ana shida nazo (huku akielewa jamaa hana uwezo nazo) ilipofika ktk ya mwezi akampunguzia hadi laki, na akamuongezea maneno kuwa hataki cm yake isipokuwa awe amepata hizo hela, laa si hivyo hadi tarehe 28/march(jana) afute namba yake ya cm ktk kimeo chake na asahau kuwa na mwanamke kama yeye, SASA JAMAA YANGU JANA ANANISIMULIA AKIWA HAAMINI maana aliisha zoea kulelewa. anajitahidi kujifariji kuwa kwa dozi alokuwa akimpa atarudi tuu, NAMWAMBIA KUMBE HUWAJUI WANAWAKE TENA WA MAOFISINI , kaachwa na bado haamini.
 
Nampa pole. Kama mwanaume, alifanya kosa kubweteka kwa kukaa na kusubiri kununuliwa na kutunzwa na mwanamke. Mi maisha yangu yote sijawahi kusikia baba wa nyumbani, mara nyingi nimesikia mama wa nyumbani. Alipaswa kuomba mtaji kipindi kile ambacho huyo dada alikuwa anamhudumia ili afanye shughuli za kujitegemea.

Sishangai sana huyo dada kuamua kumpiga chini huyo kaka, maana labda ameona kuwa ni mtu asiyefikiria mambo ya maendeleo, imagine kipindi chote hicho hataki kujishughulisha, ataweza vipi kusimamamia familia yake kama akipewa nafasi ya kuwa mume?

Mshauri rafiki yako, abadili tabia. Nasita mno kumtetea.
 
Huyo dada ni kama mwewe :
Yani very wise, mwewe huwafundisha vifaranga wake kuruka patiently. Basi ikatokea mama mwewe kamaliza kozi halafu vifaranga wote wameruka na kuna kimoja kimezembea kozi hakijui kuruka, mama mwewe hukifundisha tena! kikishindikana kabisa kabisa hufanya hivi: anakichukua mdomoni na kuruka hadi height kubwa kabisa kisha hukiachia!
ama kijifunze kuruka au kife (Dunia yako, chaguo lako)...

Dada kafundisha sana dume hilo halifundishiki...anajaribu kama jamaa anaweza mek laki 4 kwa mwezi-hawezi, ok tumsaidie mek laki1-hawezi (Jamani lets face it, husband gani huwezi mek laki1 kwa mwezi? how can u support a family sasa?)
 
Petcash duh kweli umesema
Aise mazoea gani hayo ya kulelewa mpaka unajisahau
At least wakati mama akiwa anapewa huduma jamaa angemkamua apate mtaji kuendesha biashara au amuombe mama amtafutie hata kibarua
Alishindwa kujifunza hata udereva apate kibarua aise
Duh mambo mengine hata sio ya kuongea
 
Mwanamke anafanya kazi nbc , alikuwa akimpa kila kitu, (JAMAA) kazi yake yeye ilikuwa ni kutoa huduma ya ngono tu, hapo mwanzo mwanamke alikuwa radhi kwa hali ya ufukara aliyonayo jamaa yangu, na alimtambulisha kwa ndg zake hadi mama yake mzazi, mwezi huu mwanzoni inaonekana amepata jamaa mwingine , akamuambia jamaa yangu amtafutie laki nne ana shida nazo (huku akielewa jamaa hana uwezo nazo) ilipofika ktk ya mwezi akampunguzia hadi laki, na akamuongezea maneno kuwa hataki cm yake isipokuwa awe amepata hizo hela, laa si hivyo hadi tarehe 28/march(jana) afute namba yake ya cm ktk kimeo chake na asahau kuwa na mwanamke kama yeye, SASA JAMAA YANGU JANA ANANISIMULIA AKIWA HAAMINI maana aliisha zoea kulelewa. anajitahidi kujifariji kuwa kwa dozi alokuwa akimpa atarudi tuu, NAMWAMBIA KUMBE HUWAJUI WANAWAKE TENA WA MAOFISINI , kaachwa na bado haamini.

Huyo jamaa ako inaonyesha sio mtafutaji alidekezwa na huyo mwanamke sasa mwanamke amepata mkunaji zaidi yake
 
alitaka atunzwe mpaka lini?
hlf anaona yy ndiyo mgawa dozi tu hapa duniani............mwambie pamoja na mapungufu yake ya kulelewa huyo dada ndiyo kakutana na mashine mnato zaidi yake............na akumbuke tu kwenye mahusiano wanawake wanapendwa KUPENDW(LOVED), KULINDWA(PROTECTED) ,KUJALIWA NA KUTHAMINIWA(CARED) ,KUHESHIMIWA, KUMILIKIWA NA KUONGOZWA(HAPA NASISITIZA NA KUONGOZWA ,NAKUONGOZWA ,NAKUONGOZWA).
 
Ahahaaaaa...mie naomba nikujadili wewe mwenye rafiki huyo jamaa mariooo...they says birds of the same feathers fly together?? ...so broo na wewe lazma uwe type ya huyooo rafiki yako..wauza sura full mariooo kusubiri kulelewa...haiwezekani wewe ukawa mchakarikaji/striker kisha rafiki yako akawa mariooo...lazma muwe mnafanana tabia..

Aliyemwambia sifa ya mume hasa wa ndoa ni kutoa dozi au kujituma kupiga mashine???...hiyo ni just 10% ya mahusiano ya ndoa...kuna mambo lukuki kwenye ndao na ndio maana mwanaume akatakiwa awe kichwa cha familia...sasa marioo hata laki 1 hawezi kutengeneza siku mtoto anaumwa ataweza kumpeleka hospital??...

Kuna tatizo mkewe anatakiwa kujifungua kwa operation mario hana hata tsh laki 1 si atakufa bila matibabu???..arghhhhhhhh...kichefuchefu

onyo..acheni umarioo..na kama wwe sio marioo..acha urafiki na wapuuzi kama hao wanaspoil reputation yako kwa jamii inayokuzunguka...nothing personall
 
Mwanamke anafanya kazi nbc , alikuwa akimpa kila kitu, (JAMAA) kazi yake yeye ilikuwa ni kutoa huduma ya ngono tu, hapo mwanzo mwanamke alikuwa radhi kwa hali ya ufukara aliyonayo jamaa yangu, na alimtambulisha kwa ndg zake hadi mama yake mzazi, mwezi huu mwanzoni inaonekana amepata jamaa mwingine , akamuambia jamaa yangu amtafutie laki nne ana shida nazo (huku akielewa jamaa hana uwezo nazo) ilipofika ktk ya mwezi akampunguzia hadi laki, na akamuongezea maneno kuwa hataki cm yake isipokuwa awe amepata hizo hela, laa si hivyo hadi tarehe 28/march(jana) afute namba yake ya cm ktk kimeo chake na asahau kuwa na mwanamke kama yeye, SASA JAMAA YANGU JANA ANANISIMULIA AKIWA HAAMINI maana aliisha zoea kulelewa. anajitahidi kujifariji kuwa kwa dozi alokuwa akimpa atarudi tuu, NAMWAMBIA KUMBE HUWAJUI WANAWAKE TENA WA MAOFISINI , kaachwa na bado haamini.

Huko sio kuachwa kwasababu hakuna ndoa yoyote iliyofungwa hapo. Huyo dada kabadili duka tu, amepata duka lenye bidhaa hiyo hiyo kwa bei rahisi. Wote walikuwa wanafanya kwa ajili ya kukidhi tamaa zao za mwili tu hakukuwa na mapenzi ya dhati hapo. Huyo ni mvulana sio mwanaume, inaonekana hata kazi za ndani alikuwa haziwezi ndio maana dada kashtuka mapema. Mvulana ameshindwa kuanzisha hata biashara ya kukaanga chipsi usiku kwa usiku tu, ambayo hudaiwi ushuru wala leseni ya biashara jamani, na pesa za mtaji angepata kwa huyo huyo dada mwanzoni kabla hajamchoka. Hii inatokana na malezi mabaya ya watoto changanya na mafundisho mabaya ya vijiweni.
 
Mwanamke anafanya kazi nbc , alikuwa akimpa kila kitu, (JAMAA) kazi yake yeye ilikuwa ni kutoa huduma ya ngono tu, hapo mwanzo mwanamke alikuwa radhi kwa hali ya ufukara aliyonayo jamaa yangu, na alimtambulisha kwa ndg zake hadi mama yake mzazi, mwezi huu mwanzoni inaonekana amepata jamaa mwingine , akamuambia jamaa yangu amtafutie laki nne ana shida nazo (huku akielewa jamaa hana uwezo nazo) ilipofika ktk ya mwezi akampunguzia hadi laki, na akamuongezea maneno kuwa hataki cm yake isipokuwa awe amepata hizo hela, laa si hivyo hadi tarehe 28/march(jana) afute namba yake ya cm ktk kimeo chake na asahau kuwa na mwanamke kama yeye, SASA JAMAA YANGU JANA ANANISIMULIA AKIWA HAAMINI maana aliisha zoea kulelewa. anajitahidi kujifariji kuwa kwa dozi alokuwa akimpa atarudi tuu, NAMWAMBIA KUMBE HUWAJUI WANAWAKE TENA WA MAOFISINI , kaachwa na bado haamini.
Sasa arif angu, kama huyo jamaa ni n'shkaji wako si ungemgea japo kwa mkopo usio na riba hiyo 100k ili jamaa yako aendelee kuwa "baba wa nyumbani"?

Ona sasa mshkaji amegeuka "baba wa kijiweni" unapata mzigo wa kumkatia mshiko wa kusavaivu. Sasa uwe makini manake kishazoea akipewa hela akili inahamia kwenye kichwa cha chini, asije akakutamani akataka kufanya kama alivyokuwa anamfanyia mama wa NBC.... Yu knooo woram seyyying?
 
Back
Top Bottom