Akhaaaa babu nimeshindwa mimii: Kwa mwendo huu hadi uzeeni itakuwa 'K' tena! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akhaaaa babu nimeshindwa mimii: Kwa mwendo huu hadi uzeeni itakuwa 'K' tena!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Mar 26, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  'Mwenzangu nimeshindwa mimi. tatizo sio ukubwa, shosti jamaa anayo ndefu, imepitiliza yaani wakati wa majambo ni maumivu tu na ukilia mwenzio ndo anaongeza kasi. Nimeshindwa kila nnapo mwambia anadai nivumilie. Hapo sijaolewa itakuwaje nikiwekwa ndani. Akhaaaa babu ndoa naipenda ila, mmhhhhhhh! Kwa mwendo huu mwenzangu hadi uzeeni hii 'K' unadhani itakuwa ile ile tena, si itakuwa kitu kingine kabisa! Nimeshindwa mimi mwenzangu'.

  Mie chumbani kwangu nkabaki natabasamu baada ya kuwa nimejifunza kitu hapo. Kumbe sio kila kilio cha mahaba kinaendana na raha, vingine ni vya maumivu jamani, mweeeeee!.

  My take: jamani wanaume wakati mwingine muwe mnasoma alama za nyakati pindi hivi vilio vya mahaba vinaposikika toka kwa hawa dada zetu..
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wanawake wengine midomo mikubwa...yamekushinda si utambae kimya kimya mpaka upanue pango!
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Huenda alikuwa anatoa tahadhari kwa wengine madam!
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  watoa tahadhari ili iweje,hajui kila kubwa ina kubwa yake!
   
 5. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hahahaha na kweli kama mambo ndo hayo bora ukimbie kabla halijazama
   
 6. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hiyo inaitwa mwanaukome
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Wabongo kwa kudandia habari za watu tu hatujambo.
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuuh labda jamaa alikuwa ameamua kutaka kumkomesha maana inaonekana demu anachonga sana huyo.
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Si waende hospitali akawekewe ring, au siku hizi haziruhusiwi?
   
 10. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Watu wanalilia kubwa we unataka kuikimbia haaa
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  kumbe ulikuwa hujui? loh!!! pole....
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  kisweet,
  kwa maelezo ya ndyoko huyo mwanaume ni selfish awapo mapenzini, au hajui mapenzi(hajui jinsi ya kuitumia), mwenzie analia badala ya kumuuliza anacholia yeye anaongeza speed(loh ataua siku moja...), akimwambia anaumia jamaa anamwambia "avumilie"... hahahahahahahahahahahah nani ana uwezo wa kuvumilia maumivu kila siku

   
 13. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,681
  Likes Received: 870
  Trophy Points: 280
  Inaonesha hamnaga maandalizi kabla hawajaanza ku-do! Si wanasemaga hizi mambo hazinaga size? Yaani 'no size, fit all..!!'
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  adudu auma enhh?
  pole yake jaman....mwambie aweke barafu...hatasikia maumivu wakat na baada ya tendo....
   
 15. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  msitudanganye pale si kichwa cha mtoto na mwili wake vinapita leo mnasikia maumivu? Nnavyojua mimi hiyo kitu haipo. Then again mi sina k
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Atambae vipi na imani atapata ndoa hapo..
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Ndyoko umetisha
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Za usubui mpendwa ! Ushauri wako mzuri auchangamkie! Bt muda wako ulipochangia mmh! Unalala saa ngp Ki'modo ?
   
 19. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aseeee
  Duuuhh!!!
   
 20. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mtafute Mhaya akufundishe kukata kiuno atakuwa hawezi hata kukufikia hata robo , usipoteze ndoa yako
   
Loading...