Kurudiana.......

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,420
1,920
Hii kitu husumbua sana watu mahabuba.

Haijalishi mliachana vipi lakini kurudiana huwa ni ishu pevu.........those good old memories hufanya hata sababu za kuachana zikasahaulika.

Shida ni pale tunapojutia kurudiana.......
 
We are learning thru our own mistakes! So kurudia si jambo baya ila linaleta maana kama mnarudiana wakati kila mtu amejifunza kosa alilolifanya na yuko tayari kubadilika na kutolirudia tena kosa hilo. Vinginevyo, kurudiana huleta majuto na kutonesha kidonda cha moyo. Kama hamjirekebishi, saa nyingine ni ubatili mtupu! :wink2:
 
Nina ushuhuda wa mtu aliyeolewa na baada ya mambo kwenda kombo akamrudia aliyembwaga kabla ya kuolewa.......wakati yungali katika ndoa.......so sad
 
kama kuna kosa kubwa nililofanya ni hilo...kurudiana......loh nikatoka spidi 180.....
 
Vipi ''ukimrudia'' na kukuta amebadilika physically and emotionally? Yaani vile vironjo havipo au vimepungua?
 
i dont think kama ni good idea kurudiana, if u breakup never look back no matter mliachana for good or foe bad kwa sababu u never know mwenzio anawaza nini juu yako, mwingine anarudiana na wewe ili kukukomoa hapo baadae, mwingine anarudiana na wewe lakini hawezi kurudisha yale mapenzi ya mwanzo, mwingine anarudiana na wewe lakini bado ana maumivu ndani ya moyo wake ambayo yanaweza kumsababisha kutokua na utulivu katika mahusiano na hata kuja kufanya mabo ya ajabu huko mbeleni.

kibongo kurudiana ni hatari sana,i dont suggest so
 
Kurudiana hutegemea na sababu zilizowafanya muachane. Sababu zingine ngumu kufutika kwa kichwa, unaweza ukarudi ila usifurahie kama awali. Pia sababu zinazowafanya mrudiane. Kama si za muhimu bora kusonga mbele.
 
Nina ushuhuda wa mtu aliyeolewa na baada ya mambo kwenda kombo akamrudia aliyembwaga kabla ya kuolewa.......wakati yungali katika ndoa.......so sad
.
Kukumbushia/kurudiana ndo lyf styl ya hk kizazi chenye laana cha uzinzi..
 
Mimi huwa siachi naachwa tu na hii nimeona inafaida sana coz inapotokea kurudiana huwa si kazi ngumu coz ni upande mmja tu ndo ulitoa maamuz negative by that time
 
Mtu akiniacha kwa namna yoyote then nikaumia alafu nikapona,wala asijisumbue kuja kuomba kurudiana huwa ckubali hata km nilimpenda vp,na mie nikifikia maamuzi ya kuachana na mtu,hata iweje crudian naye!labda km ni kugombana kwa kawaida tukachuniana kidogo mmojawapo akagundua aliharibu hayo yanaongeleka na maisha yanaendelea!lkn tukiachana na mie nikakubali hapo ndio imetoka ivo!
 
ooh sis, husamehi?
 
Hii kitu husumbua sana watu mahabuba.

Haijalishi mliachana vipi lakini kurudiana huwa ni ishu pevu.........those good old memories hufanya hata sababu za kuachana zikasahaulika.

Shida ni pale tunapojutia kurudiana.......
Katika zama hizi za HIV/AIDS hakuna kitu cha hatari kama baby come back ,maana chances are excitement itawafanya mparamiane bila kinga wala kwenda angaza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom