ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,244
- 1,741
Mhaligani wana jf.naombeni msaada wenu kimawazo mimi nampenda sana dada yangu(mtoto w baba mdogo) kimapenzi.na yy anaonesha kunijali na kuwa na wivu na mimi.mimi baba yangu alinikataa tokea nikiwa mdogo.je kuna tatizo kumpenda kimapenzi? maana alivyonikataa alimaanisha mimi cyo ndugu yao.wadau naombeni msaada wenu.je NITANGAZE NIA?