Natafuta msichana wa kihaya awe mchumba wangu

kyojo

Member
Mar 14, 2012
91
11
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nahitaji msichana mwenye mapenzi ya kweli na si ya msimu,vigezo,awe mhaya,mkristu na mwenye kazi yake ama kajishughuri ka kumwezesha kuingiza kipato ili maisha yaweze kwenda

Kama uko kimaisha zaidi tuwasiliane ila ntaomba unipm ili tukamilishe baadhi ya mambo kwanza alafu tutaendelea kuwasiliana
 
ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nahitaji msichana mwenye mapenzi ya kweli na si ya msimu,vigezo,awe mhaya,mkristu na mwenye kazi yake ama kajishughuri ka kumwezesha kuingiza kipato ili maisha yaweze kwenda

kama uko kimaisha zaidi tuwasiliane ila ntaomba unipm ili tukamilishe baadhi ya mambo kwanza alafu tutaendelea kuwasiliana
jinga mwingine sijui utaisha lini. Nenda bukoba utawaona wengi, utachagua uchukue umpendaye
 
huu uzi ni wa 01.32 usiku jana,kama usiku wa manane mtu anapost hii makitu...kweli mapenzi yana-run dunia!
kila la kheri bro!
 
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nahitaji msichana mwenye mapenzi ya kweli na si ya msimu,vigezo,awe mhaya,mkristu na mwenye kazi yake ama kajishughuri ka kumwezesha kuingiza kipato ili maisha yaweze kwenda

Kama uko kimaisha zaidi tuwasiliane ila ntaomba unipm ili tukamilishe baadhi ya mambo kwanza alafu tutaendelea kuwasiliana

Naona mkuu unataka kupiga katelero
 
Waitu wagwiya,chonka olabekengera aba Jf okuba nimbona abandi mbalila amaziga...nenda Kamachumu ama Karagwe wapo warembo wengi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom