Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamii nzingi za Kiafrika zimekua na kawaida ya kumpa heshima ya peke mwanamke au mwanaume alieoa au kuolewa,imefikia hata baadhi ya vyeo serikalini mtu anapewa kama ameoa/olewa na wengine kuambiwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii ni siku moja ambayo naamini kwa wale ambao wamekwishapitia siku hii wanaweza kutupa uzoefu wao kidogo wa namna inavyokuwa. Kwa mfano, siku hizi ndoa nyingi zinafanyika wakati binti ni mjamzito...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Inapotokea kutofautiana, ni vyema mkayamaliza kwa amani na maisha yaendelee kama kawaida...... Tunatakiwa kujua kwamba lengo la ndoa siyo kuepuka kukorofishana , hapana . Ukweli ni kwamba...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
natumai mu wazima wa afya. Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao...
2 Reactions
82 Replies
12K Views
All my life nimekua very decent and sijawahi kucheat au kubadilisha couples kama nguo. Huko nyuma kuna rafiki mmoja wa kike nilimuangukia totally hadi hata pua ikagusa ardhi. For four years...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Someni yaliyomsibu huyu dada.... "Mimi ni dada mwenye miaka 28,nimeolewa na nina mtoto mmoja,tunakaa nyumba ya kupanga na husband+mdogo wake wa kiume mwenye miaka 23. Kuna siku niligundua kuwa...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
...............
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Toa maoni yako...........
0 Reactions
96 Replies
10K Views
Happy father's day to all fathers in Jf and the whole world. Je, wanaokuita baba ni kweli wote wanao au wengine changa la macho? Kwani ndoa na mahusiano ya siku hizi vimeo kweli kweli. Enjoy your day.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Watoto weng wamekuwa wakiwachukia baba zao na kuwaona hawafai lakini ukwel ni kwamba wamama weng wamekuwa wakipandkiza chuki na kujenga ukuta kat ya baba na watoto.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Umri wangu kati ya miaka 21-25,kama kichwa hapo juu kinavyoeleza.Awe na umri kat ya miaka 18-20.sifa tabia nzur mengneyo hayana nafas kwngu ila tabia 2.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna principle moja ya saikolojia inasema kwamba kadri unavyoikaribia hatari ndivyo uoga unavyozidi kuongezeka. Sasa unakuta mtu anaogopa kuingia kwenye ndoa pengine anaogopa majukumu, hamfeel...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi ni binti wa miaka kama 30 hivi nina watoto wawili niko kwny ndoa ya kikristo kwa miaka mitano kwa sasa, Nimekuwa ninapata matatizo kwenye ndoa yangu mara kwa mara mimi na mume wangu, kiukweli...
0 Reactions
102 Replies
12K Views
Sijui niite ni tatizo au nini hiki,demu wangu wa mwisho kabla ya wife bado amenikaa akilini ile mbaya,msitake kujua kwanini tulimwagana, nampenda sana wife lakini huyu mtangulizi wake kila...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimechungulia kapu la utafiti kubaini chanzo chake........ Nimechungulia kauli lukuki kuainisha ni nini haswa......... Nimechungulia kwa mhusika mwenyewe anijuze kulikoni.... Nimechungulia kila...
9 Reactions
88 Replies
9K Views
Wana mmu polen kwa kazi mchana huu. Jamani kisa hiki ni cha kweli na kiko kinasubiria mashauri ili kufikia mahali pazuri. Baba mmoja mjeda ana ndoa yapata 25 yrs sasa, kwa bahati nzuri sana ana...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel...
0 Reactions
92 Replies
8K Views
Am looking for a gal to have sex chats with through sms kwa gal ambae yupo interested ani pm no.yake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom