Sikiliza sana moyo wako...

DERICK2000

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
203
35
Watu wengi wamejikuta wakijiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi yasiotarajia kisa tu,kaumizwa na boyfnd wake au galfnd wake.Mapenzi ya namna hii huishia pabaya sana,na kuanza kulaumiana,kwanza hata sikukupenda,ni stres tu,zilinileta kwako.Msipotezeane muda kwa vistres vya dakika moja.Umekorofishana na galfnd or boyfnd wako,au mmeachana,take time kujiuliza,why nliachana nae?why tunagombana,kuliko kukurupukia mahusiano ambayo baadae unaona nlikosea njia,utajilaumu kwa muda uliopoteza,pia nakwa muda uliompotezea mwenzako.



KAA,TAFAKARI,CHUKUA HATUA MUHIMU KABLA YA KUJIINGIZA KWENYE MAHUSIANO MAPYA,PINDI MNAPOACHANA.THE MORE TIME YOU GET,THE MORE HEALING,THE MORE THE BEST PARTNER YOU WILL GET.

KUNA FAIDA GANI,KUACHANA THEN UNAENDA KWA MWINGINE HARAKA HARAKA,KISA KUPUNGUZA MAUMIVU YA MAPENZI?.NDO MWISHO WAKE UNAKUJA KULALAMIKA,ANANIPENDA SANA SIMPENDI,AU NAEMPENDA HANIPENDI..HAYA YOTE HUTOKANA NA KUJIINGIZA KWENYE WRONG RELATIONSHIP,AU KUJIKUTA UNAKUWA PLAYBOY OR PLAYGIRL BILA KUTARAJIA.

KIPINDI KAMA HICHO KINAPOTOKEA(KUACHANA,KUGOMBANA).NI MUDA WA KUJENGA MAISHA YAKO.NI MUDA WA KUWA BUSY NA MASOMO YAKO KAMA NI MWANAFUNZI.NI MUDA WA KUJIWEKEA INTEREST MPYA RATHER THAN MOVING FASTER TO THE NEXT RELATIONSHIP.

NI HAYO TU WAKUU.SIKU NJEMA.
 
Hicho unachokiongelea ni kama kutafuta 'distraction' kutoka kwenye matatizo yako. Ni kweli wakati mtu yuko vulnerable ni vizuri kutafuta distraction iliyo salama, mfano kujiweka busy, finding a new job, develop ne hobbies, kwenda shule nk.

Usiusikilize moyo wako, uongoze kule unakotaka uende. Moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote.
 
Ushauri wako umetulia sana.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom