Wanawake kuogoza kuwachapa wanaume Tanzania ni kweli?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Kuna taarifa kuwa wanawake wanaogoza kuwapiga waume zao hasa kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Zanzibar. Kama ni kweli nani atapona na nani atawalinda hawa wahanga wa vipigo vya akina mama? Je tatizo ni nini? Je haya ni maendeleo au kutendeana haki au kulipiza visasi ikizingatiwa kuwa akina baba ndiyo walikuwa wakiwadunda akina mama kwa karne nyingi. Je kibao kimegeuka? Kwa taarifa zaidi BONYEZA hapa
 
Ukiacha kupigwa, wanaume wakishaoa wanapoteza uhuru wao, wanawake wanakuwa na nguvu sana majumbani. Mwanamme anafikia hatua ya kuwa kama zezeta au kumwogopa mwanamke katika kutoa maamuzi. Mwanamme anaogopa kwenda kutembea na wanaume wenzake akihofia kuchelewa mke atakuwa mbogo. Mme anakatazwa kunywa pombe anafukuzwa chumbani akirudi na harufu ya pombe, anachaguliwa wanaume wa kuongea nao etc.
 
du! tz ishakuwa kama kenya,kenya wanaume ndo wanaongoza kwa kupigwa na wake zao,wameunda na umoja wao wa kutetea haki za wanaume
 
Back
Top Bottom