Ndizi bukoba zinaongeza fluid? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndizi bukoba zinaongeza fluid?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ronn M, May 28, 2012.

 1. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mods please msihamishe hii mana huko mnapopeleka sina access!
  Sasa nauliza, ndizi bukoba inaongeza vaginal fluid? Mana there z friend of mine 4rm bukoba alinidokeza kuwa zinachangia sana ndo mana wanawake wakule si haba katika swala zima la maji! Somebody with knowledge, experience? Kuna namna ya kupunguza maji?
   
 2. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  subiri waje na data, itakuwa wameenda kula kula ndizi bukoba
   
 3. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mi ndio nazila hapa....karibu sana tujumuike kwenye mlo huu mtamu
   
 4. B

  Bigman 2012 Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona ndizi bukoba ni kavu, hayo maji yanazalishwaje?
   
 5. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yummy, unazila mara kwa mara au ndo mara moja moja? We wabukoba? Vipi hali ikoje?
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,739
  Trophy Points: 280
  nakuja ziwe za samaki wa kuchemsha
   
 7. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Kwaupande wangu sio kweli,kwani nakula mara 1 au 2 kwa week since mumewangu anapenda sana ndizi mbichi,mie na mumewangu ni wa znz. na huyo alokwambia kama kwa wanawake inaongeza fluid je kwa wanaume inaongeza nini?
   
 8. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndio maana tunauliza mana mengi yanasemwa ati!
   
 9. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa wanaume sikuambiwa! Ila alisema effect zake zinaonekana kwa waloanza kula utotoni! Nadhani inaoperate kama maji ya Arusha. Ukinywa ukiwaumekuwa mtu mzima hayabadilishi meno. Wenye kujua watujuze zaidi
   
 10. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna kitu kama hicho!
   
 11. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Mbona ni simple logic, kama zinaongeza maji basi kutokula ni kupunguza maji! Je, ndizi mshale uongeza ugumu wa shaft?
   
 12. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,697
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Kwa mimi ninavyojua ni tofauti..Ukila ndizi sana zinaongeza memory/uwezo wa kufikiri..Ila hiyo ya fluid ni ya kutunga tu haina ukweli...
   
 13. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapo kwa shaft cjui kwa kwelh
   
 14. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nyie ndo hamuutaki Muungano eeh....sasa mnafanya nn bongo??
   
 15. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  mi yangu macho...
   
 16. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo la zanzibar ni kubwa kuliko uwazavyo. Siasa+Dini+Muungano+Hisia. Hayo tuyaache kwa sasa!
   
 17. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,030
  Likes Received: 2,648
  Trophy Points: 280
  Jamani hebu semeni basi mbona mnaikiwepeshakwepesha hii mada au kuna ka ukweli flani,maana huyu mtoa mada inaonyesha kama ashawahi kukutana na wa-Bukoba akakutana na hayo maji sasa anataka ku-prove kutoka kwa wana JF.
   
 18. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  sasa mbona upo nje ya mada? mh, wabongo kwa uchochezi!sijawahi ona! umeniboa kiukweli!
   
 19. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  mbona upo nje ya mada? wabongo kwa uchochezi mh! umeniboa na sijapenda kiukweli! acha ubaguzi humu jf...eh!
   
 20. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,406
  Likes Received: 6,597
  Trophy Points: 280
  hawataki uungano aisee..hawaoni mpaka ndizi zimetuunganisha..
   
Loading...