Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naombeni ushauri wenu wanajamvi, ni hivi kwenye familia yetu ya upande wa mama tumezaliwa watano wanawake watatu na wanaume wawili , hao wanne wa mwanzo yaani wavulana wawili na hao wasichana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwenzenu nimehamia Jijini Dar hivi karibuni baada ya kupata kibarua katika taasisi moja ya Serikali. Katika harakati za kutafuta makazi, nilibahatika kuunganishwa na mwenye nyumba ambaye pia ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Unapoamua kumfuga mbwa au paka,anakukubali ulivyo,hata uwe huna mguu mmoja,uwe mweusi,uwe na chongo au uwe huna hela yeye hajui hayo anachojua yeye ni kukupenda tu,hawezi kuhamia nyumba ya jirani...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau wa jamii napenda kwanza niwajulie hali habari zeinu bana... Kuna mtu ananitesa sana anafanya nisijisikie poa coz...nilipokua mdogo yani ile miaka ya kubarehe kuna msichana hapa mtaani...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Umenitoka Moyoni kwa kusema kweli! nilikupenda sana kuliko mtu yeyote hapa Duniani lakini matendo yako.. yamenichosha sana unipigii simu mpaka uwenashida,uniambii unanipenda mpaka nikiwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
hivi jamani duniani ni wawili wawili kweli? mbona sielewi/nna mpenzi ananipenda sana ila mm nimetokea kumpenda msichana mwingine mpka nashangaa sijui nifanye nn.msaada plz:A S embarassed::A S...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Siku hizi wanawake wengi wamekuwa artificial, i mean wanapendeza kwa bidhaa za kichina zinazobabilisha mwonekano wao, kuanzia vichwani (mawigi and such stuffs), vipozozi (cream,mapouda n.k) na...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Player ni fataki na hana taswira nyingine ingawaje huificha Wasifu wake huvuma kwani vigezo vingi huvikamilisha bayana Mabinti humpapatikia na tamaa yao huwa ndiyo suluba yao Player ana...
10 Reactions
112 Replies
8K Views
Dubai trip = Kiwanja cha Eka 1 hapo Boko 1 Brazilian Wigi = Mifuko 68 ya Simenti 1 Handbag ya Jimmy Cho = 10 Tankers of water 1 Quality High Heel shoe = 1 Trailer of sand 1 BB Torch = 1500 Blocks...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hiv MUNGU acngeweka sheria kwamba Mwanaume/mwanamke utakayekutana nae na kupendana ndo awe huyo huyo mume/mke aliyekupangia ili kuondoa huu uongo uongo uliotawala sahv,mtu anapenda waschana zaid...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanamke na mwanaume yupi aki cheat kwenye ndoa ina madhara makubwa ktk familia.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
Wana jf,hili nimekuwa nikiliwaza sana ni wadada wachache sana ambao unaweza kuwakuta na vifua vyao halisi na vinapendeza...wengine yaani kama ana watoto wa nne vile, kumbe hata ujauzito hajawahi...
0 Reactions
96 Replies
9K Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, natarajia kumalieza elimu ya chuo kikuu mwaka huu mwezi wa saba. ninampenziambaye kwa kiasi fulan tunapendana, ambaye yeye kwa sasa anamika 25, kwa bahati...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nafikiri mmeshawahi kusikia watu wakisema "aah ukikuta mume ametulia mke lazima hajatulia"(and vise vesa) au kauli kama "kwenye miti hakuna wajenzi".Yote haya yanatokana na watu kupata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ule msemo wa 'people get the president they deserve' (watu hupata rais aliye stahili yao) una ujumbe muhimu katika MMU. Kama una mpenzi ujue yeye ndiye stahili yako. Hivyo, acha kudai eti oh huna...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Oooooh ooooh I never needed you to be strong I never needed you for pointin' out my wrongs i never needed pain,i never needed strenght My love for you was strong enough you should've known. I...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
...jamani mara moja moja kujipendelea muhimu. Hizi Romantic Retreats zinasaidia kupunguza usongo wa mawazo kwa wanandoa. Hakuna cha kusema '...Ooh, mambo ya wazungu hayo!'...Picha zote hizi ni...
24 Reactions
316 Replies
23K Views
  • Closed
Wabongo kwa kupeana moyo! Oh haijalishi mwili wako ukoje mradi una kidude cha kufanyia. Oh haina shobo mradi mwili wako msafi na maneno mengi ya kupeana moyo na kufarijiana. Inakuaje sasa kua...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwa mfano inatokea mkeo au mpenzi wako anakuletea taarifa kwamba ameteuliwa na kampuni anayofanyia kazi akasome nje ya nchi, inaweza ikawa Marekani, Canada au kwingineko ambapo itamlazimu akae...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Kama hawezi hakuna upendo achilia mbali mapenzi hapo!
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom