(kuuliza si ujinga) Hivi, Ushawahi kujiuliza?...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
371_big_bite.jpg
...hivi, ghafla bin vuu mwenzio anashikwa na dege dege kisha 'anakaukia' kwenye ma-au-nanihii yako...hivi utapiga kelele au 'unakufa' na tai yako shingoni?

Dont ask! ...I don't do 'these' Experiments at home or away aisee...

 
ha aaa kijana sijui hata umefikiria nini hadi ukauliza. itabidi mtu ujikaze kiume
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu bwana..umefikiria nini mwaego?? Sijawahi patwa na hili, Mungu epushia mbali..

Umepotea btw...!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Akikaukia hapo lazima meno yatafuta so atakuwa kama amekuuma.
Maumivu yake yatasababisha uanguke bafuni juu ya vigae
Unapata konkasheni, afu tunawazika wote.
 
ha aaa kijana sijui hata umefikiria nini hadi ukauliza. itabidi mtu ujikaze kiume

....dahhh, leo tulikuwa darasani, wakawa wanafundisha njia mbali mbali za maambukizi ya UKIMWI,......ndipo liliponijia swali hili.

0.jpg

 
Hahahahaa, Soulmate hebu itabidi tutete kidogo, kulikoni??
Hapa mtu mzima lazima itakutoka ukunga wa ............We achiaaaaaaa!!

Mbaya zaidi uwe umeiba hahaha

Hivi na wakaka nao wanawezashikwa dege dege wakiwa uwanja wa mechi au? loh sipati picha maana itakuwa ni aina mpya ya ukeketaji!
 
Mbu! Kwema nyumbani kwako? Yaani nauliza mkuu uko salama au kuna mtu kang'ang'ania nonino yako mdomoni?

...lol, kwema kabisa bana....nautafuta mshumaa wangu hapa niendelee kuperuzi na kudadisi JF...umeme haujafika pande hizi...labda 2015!

Mbu bwana..umefikiria nini mwaego?? Sijawahi patwa na hili, Mungu epushia mbali..

Umepotea btw...!!

...mrembo BJ....am good bana....Санкт-Петербург kwema huko?...pheewww,...
next month nitakuwa mji mmoja unaitwa Llanfairpwllgwyngyllgogerychwyrndrobwyll-llantysiliogogogoch

karibu.
 
Hahahahaa, Soulmate hebu itabidi tutete kidogo, kulikoni??
Hapa mtu mzima lazima itakutoka ukunga wa ............We achiaaaaaaa!!

Mbaya zaidi uwe umeiba hahaha

Hivi na wakaka nao wanawezashikwa dege dege wakiwa uwanja wa mechi au? loh sipati picha maana itakuwa ni aina mpya ya ukeketaji!

...hahahahahaha!....umeanza ee? we shauri yako....lol....!

Imagine kuiba kwenyewe iwe vile mtu amemtoroka mkewe, kanyatia kwa hse girl..
kisha kang'ata na mzee wa watu kapiga ukunga familia nzima ikaja kuangalia kulikoni!...
218-funny-face.jpg
..lol...
 
hahaha, acha hilo la kupata degedege, nimeshawahi kujiuliza kwa mfano ndio ulimuuzi anaamua kukubalia, halafu anaamua kukukomesha anaing'ang'ania mdomoni/kwa meno!!

huo ukunga utaoupiga, usiombe ikutokee!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Inabidi watu wa 1st aid watupe maelekezo kabla hayajatukuta. Vyovyote vile lazma uwe cool, na kujibandua taratibu, nafikiri kifuatacho ni kumgeuza ili awe kichalichali, kuruhusu lots of air na maybe kumwagia maji kdg; then calling for ambulence.

Kama umeiba mume wa mtu, ni kutafuta Simu yake try no za mkewe jifanye muhudumu wa hotel, then kimbia!
 
Back
Top Bottom