Ivi unawezaje kujuitangaza kwa watu kuwa wewe ni shoga!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ivi unawezaje kujuitangaza kwa watu kuwa wewe ni shoga!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babb-Babbjrtz, May 28, 2012.

 1. Babb-Babbjrtz

  Babb-Babbjrtz Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah hii ni hatari kwa maisha haya ya kiafrika na Mwenyezimungu hatoonana na watu hawa siku ya Kiama.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Muulize Boflo anaweza kuwa na idea!

  By the way kama ni sexual preference yako, ukificha ndio itaisha?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,383
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Ni kama vile mwanamke anavyoweza kujiita mwanmke na mwaname hali kadhalik, ushoga ni ya tatu.
   
 4. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Biashara matangazo, ukiona ivyo ujue anatafta wateja.
   
 5. Babb-Babbjrtz

  Babb-Babbjrtz Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kwa kweli hii kwangu mi naiona ni laana, na haiwezi kuepukika
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  jf bana!
   
 7. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  kamuulize mbu mbu mbu HEMEDI wa bongo muvi
   
 8. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama ndio hali halisi unadhani kutotangaza ndio solution?duniani kuna watu wana bahati mbaya wakati wanakua tumboni kwa wazazi wao, kunatokea mkanganyano wa hormones, sio kosa lake ndivo alivyoumbwa,japo ni ngumu kukubali ila ndio hali halisi
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu yeye ni shoga.
   
 10. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 996
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  ye wa d'cameroon zats y... anataka ukamle zigo
   
 11. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  iyo rahisi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
  tembea kike kama lizzy vaa kike kama fist lady jimbambe kike kama madameX zingatia swaga za erotica busara kama catalisia kwa hapo utaitwa shonga kaa kihasara hasara kama zinduna bila kusahau umbea,unafiki vidole juu muhimu.aaa nimesahau penda ATM wallet kama ummu kulthum
   
 12. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kaunga mm sina idea yoyote

  na ahadi yako ya kunipa mdogo wako imeishia wapi???

  Nataka tuonane....umenipata??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280

  Boflo nilikuletea that day hukutokea nikampa Rutashubanyuma. Subiri my douta anafikisha eitiin next reini sizoni, nitakupa. Meanwhile namfunda jinsi ya kukabiliana na maumbile yako huge!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mungu atustiri wa watoto na ndugu zetu ......
   
 15. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 9,570
  Likes Received: 1,485
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo neno
   
Loading...