Natafuta marafiki...

Mi ni mvulana,umr miaka 24 np chuo kikuu natafuta marafiki wa kike..lengo ni kubadilishana mawazo.sibagui dini,kabila,elimu wala rangi..#ya cm 0714644512 sms zote nitazjib.ahsante.

Uko chuoni hakuna wanawake wa kuchat nao? By the way kwa nini huo muda wa kutaka kuchat usiutumie kusoma?
 
thanx datz y pakawa na mtandao kama huu daty y nikaamua kufind frnds other places..abt muda wa kuchat y nciu2mie kusoma nafaham kua natakiwa nisome.
 
Mpaka umri huo huna marafiki facebook huijui au umetumwa uje kutumalizia members huku.Mbona mwandiko wako unaonekana mzee wewe wacha kudanganya watu
 
Mwandiko wake unaonesha ana marafiki wengi sana FB
 
Mpaka umri huo huna marafiki facebook huijui au umetumwa uje kutumalizia members huku.Mbona mwandiko wako unaonekana mzee wewe wacha kudanganya watu

hata wazee pia ni memba wa jf..fb na twita marafik wamejaa.
 
ok mimi nimesha kuwa rafiki yako,pamoja na member wote wa jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom