You are available for 105%. Ntahamasikaje kukuoa?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Tuheshimu hizi semi za wahenga... mfano; "if you can get a free milk", why keep a dairy cow?"...

Hii inawahusu sana wadada (probably na wanaume)

Jaribuni kuwa na mvuto, walau wanaume zenu wajisikie kuwamisi...

Unakuta mdada ni girlfriend tu, au mchumba basi...

kila siku yuko kwa mwanaume, kama mwanaume anakaa mwenyewe basi kila siku mdada anaenda kufanya usafi, kufua, kupasi, kupika nk, nk.
Kila siku mdada yuko pale, available for sex kwa staili na manjonjo yote...
Kila wikiendi mdada anashinda kwa mwanaume...
Akipigiwa simu hata saa sita za usiku, yupo radhi atoroke kwao, aende kwa mwanaume...
nk.nk...

Hata kama unampendaje mwanaume wako, jaribu kuonyesha kuwa unajiheshimu kama msichana ambaye hajaolewa, na mwanaume akitaka vyote, basi akuoe. Sisemi kwamba muwanyime sex, bali sio mnawapa hadi wanakinai... Sisemi kwamba msiende kwao, bali nendeni kwa ratiba, mkionyesha kuwa mna mambo mengine ya binafsi ya kufanya...

Unakuta mwanaume anakukinai kabla hajakuoa, unadhani atahamasika na nini kukuoa?
Mwanaume anataka mke mwenye maamuzi binafsi, sio anayefuata tu upepo wake...
Mwanaume anavutiwa kuoa mwanamke mbunifu, anayejituma... kama uko shule akikuita sometimes umwambie no, nina assignment au najisomea nk... Kama uko tu kwenu akikutaka kwake sometimes umwambie no, unawafundusha wadogo zako, au unajifunza kitu fulani, au unapika, au unaplan kuanzisha biashara yako...

Inatakiwa ucreate hali fulani ya mwanaume kukumiss, na kuona umuhimu wa kukuoa ili afaidi 100% ya kuishi na wewe...

Try to be available only for 30% ya mahitaji ya mwanaume kwako...
 
Mkuu kwani hivyo tu (ambavyo vimeishakukinaisha) ndo vinakufanya uoe?
 
Sina uhakika kama kuna mtu anayeweza kujibu kwa ufasaha kwa nini alioa/aliolewa... but nahisi vinachangia
 
Na akiingia kwenye ndoa ukimuhitaji atasema hayo hayo oooh naosha vyombo, oooh ngoja nifue, oooh ngoja nifundishe watoto, bora ajiachie tu na akiingia kwenye ndoa ndo balaa iwe jikoni, sebuleni bafuni etc ni kutwangana tu ooolaalaaa.......
 
Not practically applicable my friend...
 
Mwisho wa siku mwanamme anamwambia bidada oooh...wazazi wananilazimisha nikaoe mdada walionitafutia huko kijijini...na kwa vile sipendi kuwaudhi wazazi wangu itabidi iwe hivyo. Samahani sana kwa kukupotezea muda wako
 
Kukinaiana kupo bana...

Sometime nawaza, kusingekuwa na watoto na mali mnazoshea,,, ingetokea baada ya miaka kumi ndoa zikavunjwa alafu watu wakaambiwa wachague upya, ni wangapi wangechagua kurudiana na wake/waume zao?
 
wangine wanaamini wanaenda kulinda, usicheke na nyani utavuna ....
sometimes kweli ina bore.
 
wengine wanahamia kabisa

Wanakuwa wameshawarahisishia wanaume zao wanawapakua na kuwala kila siku...mwisho wa siku hao wanaume wanakosa sababu ya kuwafanya wawachukue jumla jumla maana wamewazoea sana..
 
Tuheshimu hizi semi za wahenga... mfano; "if you can get a free milk", why keep a dairy cow?"...

Hii inawahusu sana wadada (probably na wanaume)

Jaribuni kuwa na mvuto, walau wanaume zenu wajisikie kuwamisi...

Unakuta mdada ni girlfriend tu, au mchumba basi...

kila siku yuko kwa mwanaume, kama mwanaume anakaa mwenyewe basi kila siku mdada anaenda kufanya usafi, kufua, kupasi, kupika nk, nk.
Kila siku mdada yuko pale, available for sex kwa staili na manjonjo yote...
Kila wikiendi mdada anashinda kwa mwanaume...
Akipigiwa simu hata saa sita za usiku, yupo radhi atoroke kwao, aende kwa mwanaume...
nk.nk...

Hata kama unampendaje mwanaume wako, jaribu kuonyesha kuwa unajiheshimu kama msichana ambaye hajaolewa, na mwanaume akitaka vyote, basi akuoe. Sisemi kwamba muwanyime sex, bali sio mnawapa hadi wanakinai... Sisemi kwamba msiende kwao, bali nendeni kwa ratiba, mkionyesha kuwa mna mambo mengine ya binafsi ya kufanya...

Unakuta mwanaume anakukinai kabla hajakuoa, unadhani atahamasika na nini kukuoa?
Mwanaume anataka mke mwenye maamuzi binafsi, sio anayefuata tu upepo wake...
Mwanaume anavutiwa kuoa mwanamke mbunifu, anayejituma... kama uko shule akikuita sometimes umwambie no, nina assignment au najisomea nk... Kama uko tu kwenu akikutaka kwake sometimes umwambie no, unawafundusha wadogo zako, au unajifunza kitu fulani, au unapika, au unaplan kuanzisha biashara yako...

Inatakiwa ucreate hali fulani ya mwanaume kukumiss, na kuona umuhimu wa kukuoa ili afaidi 100% ya kuishi na wewe...

Try to be available only for 30% ya mahitaji ya mwanaume kwako...

ahahahah!?nikimwita Mara mbili ak
aniltetea mapozi na kesho akija akamkuta mwingine atamlaumu nani??Abiria chunga mzigo wako..........
 
Wanakuwa wameshawarahisishia wanaume zao wanawapakua na kuwala kila siku...mwisho wa siku hao wanaume wanakosa sababu ya kuwafanya wawachukue jumla jumla maana wamewazoea sana..

aisee kumbe mnapakuliwa?
 
Na kweli! Mtu unakopwa unajiachia weeh! Kha!

Maringo muhimu kidogo nae presha impande,lol
 
kama humpendi utaona kero.ndoa ni kitu kingine.unaweza fanya yoteeee hayo but deep down inside u unajua kuna kitu kinamiss.i believe hamna kitu kizuri kama kuoa coz unakuwa naye huru na kwa hiyari ya ndugu zake.mambo ya kubadilisha mtaa au kujibana kwenye matanuzi simply coz atashikwa na ndugu zake yanaboa
 
Back
Top Bottom