Kwa hili hapa nawapa BIG UP Wanawake... keep it up..

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Naomba kutumia jukwaa hili kuwapongeza sana wanawake makini ambao naamini ndio waliojaa JF. Kwa kawaida miaka 2-3 baada ya harusi, vile vijizawadi; jiko, sufuria, glasi, sahani, microwave, sijui rice cooker, na hata friji, TV, deki, mashuka, nk.nk.nk, vinakuwa vimeshaanza kuchoka na kuisha.
Stori za Kijiweni zimenifanya nigundue kuwa kwa sisi wa kipato cha chini, vile vikikundi vya upatu vya akina mama vinazitoa sana familia katika manunuzi ya vitu kama hivi. Wakati mwingine unaweza kukuta mshahara wa wife ni almost nusu au pungufu zaidi ukilinganisha na wa baba, lakini visible impact yake pale ndani kubwa mno na huwezi kulinganisha. Mnajua tena wababa matumizi yetu sio editable, na laiti angepewa rungu Utoh kufanya ukaguzi siku moja, wengi tutaondoka na hati chafu, na tunaweza kulazimishwa kuji-Maige...

Big up wamama kwa kuendelea kuziweka juu familia zetu...
 
Big up tumezipokea!! Na wale wababa ambao cc tuksafiri kikazi wanaingiza vimada na hawara zao kutumia vyombo vyetu vya kitchen party achilia mbali vitanda, jamani oneni aibu na muiache hii tabia, si muende mbali kha!?
 
Sasa hii itakuwa too much... Hata hivyo dada kiukweli mara nyingi hatufanyi hivyo kwa kuwa hatuwapendi au hatuwaheshimu. Inatokea tu...
 
Naomba kutumia jukwaa hili kuwapongeza sana wanawake makini ambao naamini ndio waliojaa JF. Kwa kawaida miaka 2-3 baada ya harusi, vile vijizawadi; jiko, sufuria, glasi, sahani, microwave, sijui rice cooker, na hata friji, TV, deki, mashuka, nk.nk.nk, vinakuwa vimeshaanza kuchoka na kuisha.
Stori za Kijiweni zimenifanya nigundue kuwa kwa sisi wa kipato cha chini, vile vikikundi vya upatu vya akina mama vinazitoa sana familia katika manunuzi ya vitu kama hivi. Wakati mwingine unaweza kukuta mshahara wa wife ni almost nusu au pungufu zaidi ukilinganisha na wa baba, lakini visible impact yake pale ndani kubwa mno na huwezi kulinganisha. Mnajua tena wababa matumizi yetu sio editable, na laiti angepewa rungu Utoh kufanya ukaguzi siku moja, wengi tutaondoka na hati chafu, na tunaweza kulazimishwa kuji-Maige...

Big up wamama kwa kuendelea kuziweka juu familia zetu...
Sku hizi kuna vikundi vya kina baba na vinakuwa kwa kasi sana maeneo ya mijini...........
 
Tuko inatokeaje? inauma ujue, uwiiiiiiiii naomba kila siku nisijejua wallah!
 
Last edited by a moderator:

Cacico tena nikuapie walahi... tunapochelewa kurudi hom, tunapowatoa 'masecretary' out, na hata tunachungulia nakedness ya wanawake wengine, sio kwamba hatuwapendi ninyi mamsapu wetu, bali inatokeaga tu... hata sisi tunashangaa. na naomba nitumie jukwaa hili kwa niaba ya 'mtu wako' na wanaume wengine wote kuomba msamaha kwa hili, kama ulishagundua au ilitokea siku ukagundua... inatokeaga tu...
 
big up tumezipokea!! Na wale wababa ambao cc tuksafiri kikazi wanaingiza vimada na hawara zao kutumia vyombo vyetu vya kitchen party achilia mbali vitanda, jamani oneni aibu na muiache hii tabia, si muende mbali kha!?
ila vimada wanahusika sana kwenye ulimwengu huu wa mtu kuamka amenuna bila sababu
 
Naomba kutumia jukwaa hili kuwapongeza sana wanawake makini ambao naamini ndio waliojaa JF. Kwa kawaida miaka 2-3 baada ya harusi, vile vijizawadi; jiko, sufuria, glasi, sahani, microwave, sijui rice cooker, na hata friji, TV, deki, mashuka, nk.nk.nk, vinakuwa vimeshaanza kuchoka na kuisha.
Stori za Kijiweni zimenifanya nigundue kuwa kwa sisi wa kipato cha chini, vile vikikundi vya upatu vya akina mama vinazitoa sana familia katika manunuzi ya vitu kama hivi. Wakati mwingine unaweza kukuta mshahara wa wife ni almost nusu au pungufu zaidi ukilinganisha na wa baba, lakini visible impact yake pale ndani kubwa mno na huwezi kulinganisha. Mnajua tena wababa matumizi yetu sio editable, na laiti angepewa rungu Utoh kufanya ukaguzi siku moja, wengi tutaondoka na hati chafu, na tunaweza kulazimishwa kuji-Maige...

Big up wamama kwa kuendelea kuziweka juu familia zetu...

Hahahahahaaaaaaa., mkuu nimependa hapo asee, ni kweli tupu. Tatizo litakuja kwenye kuni-Maige, si ndio mwanzo wa kutelekeza familia hapo? Unless hii inakuwa ni ya muda then unajimuvuzisha back in.
 
Mtambuzi niambie, huko kwenye vikundi vyenu huwa manafanya nini cha maana au ndo kuongelea mpira tu na kilaji kwa sana!
Mleta mada tunashukuru kwa kuona na kutambua participation ya kina mama katika familia

Sku hizi kuna vikundi vya kina baba na vinakuwa kwa kasi sana maeneo ya mijini...........
 
Hahahahahaaaaaaa., mkuu nimependa hapo asee, ni kweli tupu. Tatizo litakuja kwenye kuni-Maige, si ndio mwanzo wa kutelekeza familia hapo? Unless hii inakuwa ni ya muda then unajimuvuzisha back in.
Hahaa... unaweza ukaji-maige na akapatikana Prof Muhongo fasta...

mbona mie baba na kipato changu ni editable?
We umeanza lini kuwa baba!!!

Mtambuzi, vikundi vya ulevi ama vya infidelity?
Dili nyingi za maendeleo ya nchi zinaongelewa na kukubaliwa, just over a glas of beer... Asikudanganye mtu eti bungeni kunafanywa maamuzi, Pale wanawasilisha tu yatokanayo na vikao vya baa...

Mtambuzi niambie, huko kwenye vikundi vyenu huwa manafanya nini cha maana au ndo kuongelea mpira tu na kilaji kwa sana!
Mleta mada tunashukuru kwa kuona na kutambua participation ya kina mama katika familia

90% ya vikundi vya baa vina agenda za burudani (burudani zinatofautiana sana)...
 
Big up tumezipokea!! Na wale wababa ambao cc tuksafiri kikazi wanaingiza vimada na hawara o kutumia vyombo vyetu vya kitchen party achilia mbali vitanda, jamani oneni aibu na muiache hii tabia, si muende mbali kha!?

Dah, sipati picha umkute kimada wa mumeo anatumia jiko lako, nadhani utamkalisha kwenye jiko linalowaka aungue makalio yake.
 
Cacico tena nikuapie walahi... tunapochelewa kurudi hom, tunapowatoa 'masecretary' out, na hata tunachungulia nakedness ya wanawake wengine, sio kwamba hatuwapendi ninyi mamsapu wetu, bali inatokeaga tu... hata sisi tunashangaa. na naomba nitumie jukwaa hili kwa niaba ya 'mtu wako' na wanaume wengine wote kuomba msamaha kwa hili, kama ulishagundua au ilitokea siku ukagundua... inatokeaga tu...
Tuko apology accepted! lol, na siye tunaomba hata kama mmebanwa vipi, mnawataka hao masecretary, nendeni mbali basi, sio kwenye nyumba zetu, na matrimonial bed zetu, kha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom