Hivi kwa nini hizi nyimbo hufanana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini hizi nyimbo hufanana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Jun 20, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ukisikiliza bongofleva (mi sio mpenzi kiviiile), utagundua vijana wa kiume wanapoibukia, ambapo wengi wanakuwa kwenye early 20s, wanakuwa na nyimbo zao za kwanza za mapenzi zenye msg zinazofanana. Msg yenyewe ni kuwa alikuwa na mpenzi, then huyo mpenzi akampiga kibuti... na mara nyingi anakuwa anaimba kama vile kumuambia huyo mpenzi kuwa utajuta, utanikumbuka...

  Hivi hii inaashiria nini kwa vijana wa kiume na videmu vyao vya kwanza? Kwamba hivyo videmu vikishajua mapenzi na raha ya pesa, in most cases vikijana vinapigwa chini au?

  Reference chache
  Ali Kiba - Zinderela
  Diamond - Mbagala
  Barnaba na pipi - siujui jina
  Hebu vijana ongezeeni reference hapa...
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,658
  Trophy Points: 280
  Sio Zinderela bana!
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  analysis not sufficient to generalize
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mi pia sio msikilizaji kivileeee
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahaha...wewe bwana mapenzi hayo ya uteenager hayawezi kudumu na mara nyingi mademu baadae wanakuja jua wanaume wote wale wale so bora mtu anakumega huku wewe unamega pochi yake lol!!!
   
 6. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nikiongeza hapo labda single boy ya Ali kiba.
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,297
  Trophy Points: 280
  Neila (Mwili Unatamani) - Tundaman
   
Loading...