Do you know what is consummation?

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Kwa wasiofahamu hii ni moja ya hitaji muhimu sana kwa ndoa! Ili ndoa iwe halali, couple must be able to consummate. This is the first act of sexual intercourse after marriage. If in any case parties fail to consummate in reasonable time, the marriage may be avoided. Consummation is actual insertion. Its not necessary that the insertion gets deep or couples reach orgasm. Mere insertion is sufficient for consummation!
 
If a woman is a virgin one, and you fail to insert due to that, that does not amount to failure to consummate. But if she cant be consummated because of biological problems that requires major operation, then the marriage may be avoided on ground of failure to consummate
 
Du!
How if a man in question is the one who causes failure of consummation, may be he is potent...!

Same thing! Woman avoid that marriage for non consummation. And the effect will that she has never been married at all!
 
hivi kama ataingiza kuna haja ya kutoingiza yote yani tu ili mradi m consumate?
sijaelewa ni wakati gani inaweza tokea mnafanya kwa mara ya kwanza toka muoane alfu mna beep :A S-confused1:
 
Erotica, ni kwamba ili ndoa iwe halali lazima mnapofunga ndoa ifuatiwe na what is called consummation. It means you must do. Now it doesnt matter how far you have done but if there was an insertion that it. Mf wakati mnatoka kanisani u got an accident(God forbid), one of you dies. The marriage will be void for non consummation and therefore it will be as if you were never married. Think of issues of importance and the like
 
Kwa wasiofahamu hii ni moja ya hitaji muhimu sana kwa ndoa! Ili ndoa iwe halali, couple must be able to consummate. This is the first act of sexual intercourse after marriage. If in any case parties fail to consummate in reasonable time, the marriage may be avoided. Consummation is actual insertion. Its not necessary that the insertion gets deep or couples reach orgasm. Mere insertion is sufficient for consummation!
is it done in africa especialy tanzania?!:rain:
 
Kwa wasiofahamu hii ni moja ya hitaji muhimu sana kwa ndoa! Ili ndoa iwe halali, couple must be able to consummate. This is the first act of sexual intercourse after marriage. If in any case parties fail to consummate in reasonable time, the marriage may be avoided. Consummation is actual insertion. Its not necessary that the insertion gets deep or couples reach orgasm. Mere insertion is sufficient for consummation!

Kaka kwa ndoa za zamani Yes, hizo sheria za ndoa za consummation zinafanya kazi maana watu wa zamani walikuwa wanaoana bila kukutana kimwili kabla ya hiyo ndoa. Kwa hali ya sasa mkuu, ndoa inakuja kutokea wakati huyo bibi harusi tayari ana mimba ya miezi sita na kama hana mimba basi alishawekwa kinyumba na huyo mwanaume na kama alinusurika hayo yote, lazima atakuwa alishatembea na huyo mtarajiwa wake kabla ya ndoa! Hayo mambo ya kisheria ya consummation yanakuwa hayana nguvu maana watu wanakuwa wamepractice mpaka beyond consummation !!! :thinking:
 
Du!
How if a man in question is the one who causes failure of consummation, may be he is potent...!

Null and Void or something...ni kukimbilia haraka ulikofungia ili ukaivunje rasmi. Au mkubaliane na jamaa kwamba you will be the man but sex and fertilization would be taken care through a special arrangement...ndo mpango wa nje huo
 
Kaka kwa ndoa za zamani Yes, hizo sheria za ndoa za consummation zinafanya kazi maana watu wa zamani walikuwa wanaoana bila kukutana kimwili kabla ya hiyo ndoa. Kwa hali ya sasa mkuu, ndoa inakuja kutokea wakati huyo bibi harusi tayari ana mimba ya miezi sita na kama hana mimba basi alishawekwa kinyumba na huyo mwanaume na kama alinusurika hayo yote, lazima atakuwa alishatembea na huyo mtarajiwa wake kabla ya ndoa! Hayo mambo ya kisheria ya consummation yanakuwa hayana nguvu maana watu wanakuwa wamepractice mpaka beyond consummation !!! :thinking:

Sheria haizungumzii consummation on the line of virginity or prior sex! Muhimu ni kwamba after marriage if no consummation marriage can be avoided regardless of whether the couple had sex before. At least thats what the law is now a judge or magistrate may wish to see how he can interpret it especially where couple was living together and are maintaining a baby though no consummation after marriage
 
Mkuu hapo kwenye bold, kuna kesi yeyote ambayo ilishatokea ya couples kuishi pamoja na kuwa na mtoto halafu baada ya ndoa kukawa hakuna consummation?! Hapa najiuliza mtu anawezaje kuishi kinyumba na mwanamke na pengine hata kuzaa naye bila ya hiyo consummation! Najaribu positively kuielewa sheria hii ya ndoa na uhalisia wa maisha ya sasa ya wapenzi kabla ya ndoa na si vingenevyo. Thanks.
 
Ukitumia viungo vingine vya mwili kutimiza malengo hayo hayo inakuwaje?
 
Mkuu hiyo ya kwako sawa tunakubaliana na sheria yako ya ndoa kuwa bila consummation hakuna ndoa ni null and void
ila sasa kuna ndoa za siku hizi watu wanafunga ndoa wako ukumbini bi harusi anakimbizwa hospital anakwenda kujifungua
Je hapo bado utaaita hiyo ndoa ni null and void for lack of consummation?
hiyo waliitengeneza wakati huo bwana na bi harusi hawakutani mpaka siku ya ndoa
Ila kwa mazingira ya sasa ambayo (japo sio kisheria wala kidini) watu wanaoana wakiwa na mimba ambazo bi harusi anakaribia kujifungua na hapo huwezi walazimisha eti mpaka mconsummate siku ya ndoa yenu kuifanya kuwa ndoa halali
 
Sasa watu wameona na wana mtoto applicability yake iko wapi iyo consummation?
 
Sheria haizungumzii consummation on the line of virginity or prior sex! Muhimu ni kwamba after marriage if no consummation marriage can be avoided regardless of whether the couple had sex before. At least thats what the law is now a judge or magistrate may wish to see how he can interpret it especially where couple was living together and are maintaining a baby though no consummation after marriage

Wewe ni lawyer? Hicho Kiingereza chako vipi hapo....mbona hakijanyooka?
 
How does the court prove non-consummation in a marriage?

Mkuu hapo ni mpaka mmoja akalalamike kuwa hajapata haki yake ya ndoa ndio mahakama inaweza kusikiliza
Ni ngumu sana hizi mambo aise kuhakikisha kuwa jamaa hawezi kuconsummate marriage yake
 
Back
Top Bottom