Hii imetokea katika Maegesho ya WHO Dar Es Salaam!! Lunch Box

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Mnamo mida ya chakula cha mchana (lunch time) na nikiwa katika hekaheka na pilikapilika za maisha, nilijikuta karibu kabisa na sehemu ya maegesho ya magari katika maeneo ya Magogoni karibu kabisa na ofisi za shirika la afya la dunia (WHO). Wakati nikijongea ofisi za jirani katika shughuli zangu za kila siku nilikutana na mdada mrembo akiwa mbio mbio kuelekea kwenye gari aina ya 'Mark II 100' ambayo ilikuwa na vioo vya giza nene ukiacha sehemu ndogo za kioo cha nyuma(Huyu dada alikuwa anatokea ndani ya ofisi za WHO).
Niligeuza shingo kushuhudia urembo wa huyo dada na nilimsindikiza kwa macho yangu mpaka alipoingia kiti cha abiria cha hiyo gari tajwa hapo juu. Niliamua kuendelea na hamsini zangu mpaka ndani ya ofisi ya jirani.
Bahati mbaya mwenyeji wangu alikuwa na kikao na nilijaribu kuvuta subira lakini nikaamua baada ya kama dakika kumi hivi, kwamba ni vema nikaendelea na mambo mengine.
Nikiwa narudi niliweza kuliona lile gari tajwa hapo juu likiwa limewaka lakini madirisha yote yamefungwa na huku nikistaajabu niliweza kumwona yule dada aliyeingia ndani ya gari tajwa hapo juu akiwa kama amepandisha 'mashetani' ndani ya hiyo gari manake sehemu ya kioo cha nyuma katika kulikuwa hakuna 'tinted'. Mwanzo nilifikiri labda amepatwa na jambo lakini kadri nilivyokuwa nikisogelea lile gar indo nilivyopata picha halisi. Mrembo Yule kumbe alikuwa katika 'gemu' ya kiutu uzima akitoa chakula cha mchana kwa mdadi wa hali ya juu. Jamaa yeye alikuwa anasikilizia! Kuona hivyo nikaamua kujiondoa eneo hilo kwa haraka sana manake sikutaka kuwakatisha hamu ya 'chakula cha mchana'

Angalizo: Bahari hailindwi, uaminifu katika mapenzi ni muhimu!
 
Mnamo mida ya chakula cha mchana (lunch time) na nikiwa katika hekaheka na pilikapilika za maisha, nilijikuta karibu kabisa na sehemu ya maegesho ya magari katika maeneo ya Magogoni karibu kabisa na ofisi za shirika la afya la dunia (WHO). Wakati nikijongea ofisi za jirani katika shughuli zangu za kila siku nilikutana na mdada mrembo akiwa mbio mbio kuelekea kwenye gari aina ya 'Mark II 100' ambayo ilikuwa na vioo vya giza nene ukiacha sehemu ndogo za kioo cha nyuma(Huyu dada alikuwa anatokea ndani ya ofisi za WHO)...

Hii hadithi nzuri sana! Inatoa mafundisho hasa kipindi hiki cha UKIMWI
 
kuna lili tangazo la ukimwi.."tupo wangapi".nadhani linapaswa kutengenezewa stika ili kila mtu apate nakala yake.
 
Hii nzuri sana zama hizi za ukimwi.

Lakini nani anajua raha ya kufanya ngono katika sehemu hatarishi!? Ni raha ilioje

Bazazi!
 
Loh! Nafikiri mambo kadha, hapo paking hiyo gari haileti ka~disturbance hata kwa kushake? Na mtoa mada mchana kweupe unapiga chabo kwa upenyo mwembamba wa kioo cha gari! Binafsi na utashi wangu siwekufanya vyote hivyo (kuomba lunch box au kupiga chabo lunch box za watu)
 
Mnamo mida ya chakula cha mchana (lunch time) na nikiwa katika hekaheka na pilikapilika za maisha, nilijikuta karibu kabisa na sehemu ya maegesho ya magari katika maeneo ya Magogoni karibu kabisa na ofisi za shirika la afya la dunia (WHO). Wakati nikijongea ofisi za jirani katika shughuli zangu za kila siku nilikutana na mdada mrembo akiwa mbio mbio kuelekea kwenye gari aina ya 'Mark II 100' ambayo ilikuwa na vioo vya giza nene ukiacha sehemu ndogo za kioo cha nyuma(Huyu dada alikuwa anatokea ndani ya ofisi za WHO).
Niligeuza shingo kushuhudia urembo wa huyo dada na nilimsindikiza kwa macho yangu mpaka alipoingia kiti cha abiria cha hiyo gari tajwa hapo juu. Niliamua kuendelea na hamsini zangu mpaka ndani ya ofisi ya jirani.
Bahati mbaya mwenyeji wangu alikuwa na kikao na nilijaribu kuvuta subira lakini nikaamua baada ya kama dakika kumi hivi, kwamba ni vema nikaendelea na mambo mengine.
Nikiwa narudi niliweza kuliona lile gari tajwa hapo juu likiwa limewaka lakini madirisha yote yamefungwa na huku nikistaajabu niliweza kumwona yule dada aliyeingia ndani ya gari tajwa hapo juu akiwa kama amepandisha 'mashetani' ndani ya hiyo gari manake sehemu ya kioo cha nyuma katika kulikuwa hakuna 'tinted'. Mwanzo nilifikiri labda amepatwa na jambo lakini kadri nilivyokuwa nikisogelea lile gar indo nilivyopata picha halisi. Mrembo Yule kumbe alikuwa katika 'gemu' ya kiutu uzima akitoa chakula cha mchana kwa mdadi wa hali ya juu. Jamaa yeye alikuwa anasikilizia! Kuona hivyo nikaamua kujiondoa eneo hilo kwa haraka sana manake sikutaka kuwakatisha hamu ya 'chakula cha mchana'

Angalizo: Bahari hailindwi, uaminifu katika mapenzi ni muhimu!

Kweli hao jamaa wamekosa haya, Mchana kweuupeee ndani ya gari inhali wananchi wanapita wao wanapeana dozi ???!
Hii sasa imekuwa ni highest level ya immorality, imagine kama watoto wangekuwa wanapita karibu na hilo gari na kushuhudia gemu live mchanamchana, wangekuwa wanatoa mafunzo gani kwa watoto???
Aibu yao!
 
Bishanga: mdada alikuwa kama anatwaliwa na shetwani nikafikiri ninaweza kutoa huduma ya kwanza!!:A S-devil4:

Kama we ni mwanaume lazima ulishirikiana na jamaa, japo kwa maungo yako! Mpaka unataka utoe huduma ya kwanza?
 
Kweli hao jamaa wamekosa haya, Mchana kweuupeee ndani ya gari inhali wananchi wanapita wao wanapeana dozi ???!
Hii sasa imekuwa ni highest level ya immorality, imagine kama watoto wangekuwa wanapita karibu na hilo gari na kushuhudia gemu live mchanamchana, wangekuwa wanatoa mafunzo gani kwa watoto???
Aibu yao!

Hivi mkuu huw hapiti kwa miguu mitaa ile? Naye angepiga chabo nadhani
 
Akitoka hapo anaenda kujifuta futa na tishu akifika nyumbani hallo honey I ril miss hw was ur day,mine was ril greit blah blah blah...
 
Kama we ni mwanaume lazima ulishirikiana na jamaa, japo kwa maungo yako! Mpaka unataka utoe huduma ya kwanza?

Ronn: ni wewe au jamaa yako mwenye hiyo GX 100 nini? Mkoko wangu ulikuwa mkabala na hiyo GX 100 ...kumbuka macho hayana pazia!!
 
Wote hao ni wachafu kabisa. Ina maana baada ya kumaliza kufanya huo mchezo,waliojiosha kweli au walijifutafuta tu? Huyo dada si alikuwa akinuka kingono ngono tu aliporudi kuofisi?

Ama kweli binadamu tumeshavuka stage ya kuwa wanyama,sijui tumeingia stage gani! Mawe?!
 
Back
Top Bottom