Pongezi za dhati kwa senetor.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Heshima mbele wana MMU wote!!ebana asubuhi ya leo ndo nahitimu masomo yangu ya chuo kikuu.namshukuru mungu na watanzania wote kwa ujumla kwani kodi zenu ndio zilizonifanya na mie niweze kuipata hii elimu ya juu.pamoja sana wakuu
 
Kwani matokeo yameshatoka ama ndo umemaliza UE?
Hongera anyway, ni hatua. Kila la kheri kwenye kusaka maisha. Usikate tamaa, utatoboa tu.
 
Heshima mbele wana MMU wote!!ebana asubuhi ya leo ndo nahitimu masomo yangu ya chuo kikuu.namshukuru mungu na watanzania wote kwa ujumla kwani kodi zenu ndio zilizonifanya na mie niweze kuipata hii elimu ya juu.pamoja sana wakuu

Hongera sana na karibu uraiani. Natumaini elimu uliyoipata haitaishia kwenye kujibia mitihani na kuandikwa kwenye vyeti tu, bali itaenda mbele zaidi kwenye hatua ya matumizi ya hiyo elimu ktk kulijenga taifa ...
Big up!
 
jiandae kurudisha hizo kodi zetu sasa..... WELCOME TO THE WORLD
nb:huku lazima ajulikane mwanaume nani.....
 
Hongera mkuu na karibu kwenye maisha halisi... Naamini unaelewa kuwa huku zile swaga za kichuochuo haziapply!!! Hongera tena sana.
 
Hongera sana,ingawa hatujapata nafasi ya kuonana while tupo chuo kimoja,Mungu akpenda kwenye graduation tutaonana GOD is great I will be next to you
 
Hongera, karibu uraiani.
Usikwepe kulipa kodi ili wengine wasome.
 
Asanten sana wakuu.mkopo wenu mlionikopesha ntaulipa tu,mcwe na wasiwasi.
 
Back
Top Bottom