Sweetie niPM tukale bata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sweetie niPM tukale bata

Discussion in 'Love Connect' started by TajiriMutoto, Jun 20, 2012.

 1. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, :cool: yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah,
  wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa unajitokeza nikiwa nakula bata.

  Sasa nimeonelea leo niipost hapa jamvini, tushirikiane kwenye hili. Ngoja nifupishe maelezo, nisikuchoshe na ww usinichoshe.

  Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26, kielimu nina Master level, niko serikali nakula hela moja ndefu tu kila mwezi. maendeleo nafanya, kuna mjengo wangu nauendeleza kidogo kidogo, msije fikiri nala bata bila maendeleo.

  Kwasasa natafuta mdada/mshangazi wa kuwa nakula nae bata, vigezo:

  • Asiwe kicheche.[​IMG]
  • Awe anakunywa pombe, ila sio mlevi.[​IMG]
  • Asiwe anavuta sigara.[​IMG] [​IMG]
  • Awe na sura nzuri :poa
  • Wenye umri mkubwa watapewa vipaumbele zaidi :poa
  • Awe na muda wa kula gudtym, asiwe mtu wa kufanya kazi weekend :poa
  • Wanene watapewa vipaumbele zaidi :poa


  Nawakilisha, niPM wewe mdada tule bata! :msela:
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  huyo ndio tajiri mutoto vigezo na masharti kuzingatiwa lol!
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duuh hivyo vigezo vyaonyesha unataka kulelewa. Unapenda kula bata on others account!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nenda kale mingo kwenye makanisa ya kilokole ujichagulie
   
 5. awp

  awp JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  haya makubwa, usipende wazee utazeeshwa
   
 6. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  mh!:A S-coffee: hebu ngoja nione wachangiaji leo...
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Marioo! Awe na hela za nini sasa wakati ww unazo zinazokuzidia?
   
 8. j

  jobseeker Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi kiswahili hapa kimenishinda, maana toka nione na kusikia ule wimbo albata, basi nilikuwa nafikiria kuwa kwa kiswahili cha mitaani watu wanaposema BATA wanamaanisha mwanamke hususan mwanamke mwenye makalio makubwa. lakini sasa naona watu wanatumia neno hili vinginevyo na nashindwa kuelewa hususan pale mwanamke anapotumia neno hili ilhali unajua kuwa hakusudii bata mnyama.
  Nielimisheni wenzangu, kwa lugha za kisasa vijana wanaposema bata au albata wanakusudia nini hasa?
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Na hili la mario chanzo chake nini ....
   
 11. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nenda jolly club,maisha club,new afrika casino.las vegas alafu utajifunza ni mwanamke gani wakuoa
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Utakuwa unatatizo wewe, hautaki kupigwa mzinga!!!!
   
 13. awp

  awp JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nivea, umeongea hayo maeneo atapata majibu
   
 14. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ahahaha, karibu Chauro, mi ndo mzee wa Bata, nakula bata mpaka kuku anaona wivu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  King'asti hamna sehemu kwenye maelezo nimesema awe na hela. Nimesema asiwe wa mizinga, ahahahah Bata 4Life
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ahahaha MadameX hujanipata vizuri, hapa pesa ipo sema matumizi tu ndo tatizo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  awp Wakubwa ndo wenyewe, ma experience maujuzi yakutosha yani fulu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu Fidel80, tatizo wale hawanywi pombe wataniboa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu Sangarara, Mizinga noma inarudisha nyuma maendelea, Bata mwanzo mwisho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  We nawe nivea kwani nimesema natafuta mwanamke wa kuoa? Nimesema naafuta wa kula nae bata & nothing serious. Afu kigezo cha kwanza asiwe kicheche, hao wa jolly kwangu sumu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...